Marina Bay Sands: Bustani ya Angani

hahahaaaaaa wee acha tu, hivi kwa mfano mtu anakudai, ndio anakukuta unakula bata huko juu si anaweza kukurushia chini huko? au wale jamaa wanang'oa kucha za watu na meno........hahaha ahuko mbali bhana

hahaha yani wewe unafika mbali! kagaidi wewe!
 
Kweli wanadamu tunaviburi !! Duu tufufuane sasa , maana tukifa vyote twaviacha,,,
 
Singapore hiyo Dr....siyo ile Singapore ya Singida hahah!!!

huko si kule mkulu alikuwepo juzi.....?.....unadhani alitembelea hapa mahala......? am curious Dr.......
 
Hahahaaa...Dr hii si place mkulu atatangaza akienda...si unajua humo ndani kuna Casinos na starehe zote...mi najua tu lazima alienda kulainisha nyonga tu huko

huko si kule mkulu alikuwepo juzi.....?.....unadhani alitembelea hapa mahala......? am curious Dr.......
 
ahahaha...kama nakuona vile. na floater lenyewe ndo kabisaa linaweza likakupitilizisha mpaka chini!

hahahaaa itabidi ulishikilie ili nisipitilize hahahahaa au tumwombe msomali aje aokoe jahazi!
mama mbavu zangu mie.......................!!!
 
hahahaaa itabidi ulishikilie ili nisipitilize hahahahaa au tumwombe msomali aje aokoe jahazi!
mama mbavu zangu mie.......................!!!

Halafu na leo siendi ninalea mwenzio!!!
 
Mmh....anyways ushamba si mzigo, hasa mbona mie natishika zaidi kuliko kufurahia. Manake hiyo swimming pool si kuazima kizunguzungu tu jamani? Kuna kitu kinazuia upande wa chini in case of anything? Na wale kama askari kwa pembeni ndio ulinzi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…