Marie stopa-Kimara saa mbili Usiku imefungwa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marie stopa-Kimara saa mbili Usiku imefungwa!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matope, Feb 28, 2011.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hivi hizi ni Hospitaly,Clinic au Dispensary coz mtu unaenda na mgonjwa saa mbili wamefunga hawatoi humuma maana yake nn?au pengine ni Duka la Dawa watuambie tujue moja inauma sana wadau hebu nisaidieni!!!!!!!
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Marie stopes zote kazi haswa ni kutoa mimba hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu na sekondari,wateja wengine ni wa kuongeza tu siku.kama ulikuwa hujui fanya utafiti ndugu yangu.
   
 3. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Aha aisee kaka hii ni kweli kabisa nimepita hapo saa mbili na mgongjwa walinzi wamefunga eti mpaka kesho!!!
   
 4. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  sioni cha kulalamikia hapo ile ni sehemu ya mtu binafsi muda wa kazi anajipangia mwenyewe...
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  vituo vya kutolea mimba hivyo eti wamekuja kueneza family planning ila mbeya kituo chao kimoja kimefungwa
   
 6. s

  shosti JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kuzaa watoto wasiotarajiwa na kutoa mimba hos bora nini,kila kitu mnalalamika :rain:
   
 7. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Wakati unafanya mchezo wa kibaba baba unarajia nini ? mimba utatoa kale kaugonjwa je ?
   
 8. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hebu tujenge hoja ya msingi ktk hili,mnatambua kuna hospitali zilizofungiwa hapa hapa Dar zinafanya kazi??
   
Loading...