SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,756
Maridhiano ndio turufu ya Dr Mbowe kuchaguliwa tena na tena hadi mwisho wa uhai wake
Hiyo sio turufu ndio imemuangusha, maridhian ambayo mwenyekiti tu ndio anafaidika nayo lakini chama akifaidiki? Safari hii amekuwa exposedMaridhiano ndio turufu ya Dr Mbowe kuchaguliwa tena na tena hadi mwisho wa uhai wake
Maridhiano endelevuKwani ccm walimkosea nini ndo waridhiane? Mbona kwenye chaguzi bado ccm wanawaengua wagombea wa cdm je nayo ni sehemu ya maridhiano?