Marian school wins top slot in exams


G

Gangi Longa

Senior Member
Joined
Feb 5, 2010
Messages
195
Likes
30
Points
45
G

Gangi Longa

Senior Member
Joined Feb 5, 2010
195 30 45
By CONSESA JOHN, 6th February 2010 @ 15:01, Total Comments: 0, Hits: 423

MARIAN Secondary School in Bagamoyo Region has claimed the top slot in last year's Form Four National Examinations.

Private secondary schools faired better this time after claiming the top ten positions pushing government-owned schools further down the rankings.

Announcing the results in Dar es Salaam yesterday, the Executive Secretary of the National Examination Council of Tanzania (NECTA), Ms Joyce Ndalichako, said that the top ten schools were grouped into two categories.

The initial category comprises schools with more than 35 candidates whose number stood at 2,258. The second category brings together 240 schools with less than 35 candidates.

The top ten schools with more than 35 candidates are Marian Girls, St James Seminary in Kilimanjaro Region; Don Bosco Seminary (Iringa); St Francis Girls (Mbeya); St. Mary Junior Seminary (Coast Region); Uru Seminary (Kilimanjaro) and Feza Boys of Dar es Salaam.

Others are Anwarite Girls, Maua Seminary and St Mary Goreti, all of Kilimanjaro Region.

The top ten schools with less than 35 candidates were Feza Girls (Dar es Salaam); Mafinga Seminary (Iringa); St Joseph-Kilocha Seminary (Kilimanjaro); Queen of Apostlers -Ushirombo (Shinyanga); Dungunyi Seminary (Singida) and Rubya Seminary of Kagera.

Others are Sengerema Seminary in Mwanza; Bethelsabs Girls in Iringa; Thomas More Machrina of Dar es Salaam and St Hellen's of Dar es Salaam.

Ms Ndalichako said that 339,925 candidates (91,589 among them being private candidate) sat for the exams last year and 173,323 among them (which is 72.51 per cent) have passed the exam. A total of 74,696 of them are girls and the rest are boys.

The number of candidates who sat for the national examinations last year has increased as compared to the previous year's total where 241,472 students attempted the exams.
"This shows that the number of students joining secondary schools is increasing due to the introduction of ward schools," she said.

The total number of candidates who passed the examination is 222,800 out of which 49,477 were private candidates.

She said that boys have faired much better in the examinations than girls. The number of boys who passed the examination is 123,060 while that of girls is 99,740.

The best ten students who did remarkably well were Immaculate Mosha from Marian Girls; Gwamaka Njobelo of Mzumbe Secondary Scool; Wolfgang Seiya of Majengo Secondary School; Vanessa Chilunda and Faith Assenga Doreen Philbert both of Marian Girls.

Others are Zahra Maghji of Usagara; John Kimbari of St James Seminary; Said Abdallah and Evance Lwanga both from Feza Boys.

Ms Ndalichako announced the poorest ten schools with more than 35 candidates as Busi of Dodoma; Milola of Lindi; Misima of Tanga; Kiwere of Tabora; Potwe Day of Tanga; Masanze of Morogoro; Mandawa of Lindi; Msata of Coast; Chekelei of Tanga and Jangalo of Dodoma.

The poorest ten schools with less than 35 candidates are Kizara of Tanga, Mingumbi of Lindi, Songolo of Dodoma, Nahukahuka of Lindi, Marambo of Lindi, Dole of Zanzibar, Ruponda of Lindi, Mpunyule of Lindi, Ruruma of Singida and Viziwi Njombe of Iringa.

She said that the results of 468 students were held due to suspected cheating. Other students failed to meet the required criteria.

She urged students to avoid cheating in examinations and refrain from buying fake examinations. She advised students to study hard in order to score high marks in their examination.

http://www.dailynews.co.tz/home/?n=7282&cat=home
 
G

Gangi Longa

Senior Member
Joined
Feb 5, 2010
Messages
195
Likes
30
Points
45
G

Gangi Longa

Senior Member
Joined Feb 5, 2010
195 30 45
Hongereni wanawake wote huu ndo wakati wenu sasa na muendelee kushinda hivyo hivyo! Naona pia shule za Kilimanjaro zilizoanza kusahaulika zimeamka upya haswa za Seminary! Hongereni pia! Dini nyingine nazo ziweke mikakati ya kuboresha shule zao haswa Wenzangu wa seminary za Kiislamu (tuige mfano wa Feza schools) pia Zanzibar tuache kelele nyingi tuweke mikakati hii inatia aibu!
 
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
606
Likes
14
Points
35
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
606 14 35
Hongera zao ila mimi nawaonea huruma watanzania wenzangu 65,708 waliopata zero.hii ni aibu kwa Tanzania,sijui nani wa kupewa lawama hizi!!
 
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
606
Likes
14
Points
35
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
606 14 35
Hongereni wanawake wote huu ndo wakati wenu sasa na muendelee kushinda hivyo hivyo! Naona pia shule za Kilimanjaro zilizoanza kusahaulika zimeamka upya haswa za Seminary! Hongereni pia! Dini nyingine nazo ziweke mikakati ya kuboresha shule zao haswa Wenzangu wa seminary za Kiislamu pia Zanzibar tuache kelele nyingi tuweke mikakati hii inatia aibu!
Mzee usizungumzie sana dini.......iabie serikali ifanye kazi kwenye shule zake na hasa zile za kata...haya ndo mazao ya shule za kata.
 
G

Gangi Longa

Senior Member
Joined
Feb 5, 2010
Messages
195
Likes
30
Points
45
G

Gangi Longa

Senior Member
Joined Feb 5, 2010
195 30 45
Mzee usizungumzie sana dini.......iabie serikali ifanye kazi kwenye shule zake na hasa zile za kata...haya ndo mazao ya shule za kata.
kaka nathani mimi nawe tunajua serikali kwishenei sina sababu ya kuzungumzia shule za kujenga popularity kwa Lowassa na CCM ati shule 600 zimejengwa na sifa kemkem mziki tunauona na matokeo yake ndo haya! :mad:
 
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
108
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 108 145
Hongera zao ila mimi nawaonea huruma watanzania wenzangu 65,708 waliopata zero.hii ni aibu kwa Tanzania,sijui nani wa kupewa lawama hizi!!

Hao ukichunguza sana utakuta wamemaliza kwenye zile shule zetu za Lowasa, wengi kule huwa wanaingia hawajui kusoma wala kiandika, na mbaya zaidi huwa hawana hata interest na kusoma; ni kupotezewa muda wao tu.
Mimi naona wawe wanalazimishwa kwenda shule za ufundi labda itasaidia, lakini X + Y = Z huwa wanajisikia kuzunguzungu tu
 
M

mtatifikolo

Member
Joined
Feb 9, 2008
Messages
43
Likes
1
Points
0
M

mtatifikolo

Member
Joined Feb 9, 2008
43 1 0
Mzee usizungumzie sana dini.......iabie serikali ifanye kazi kwenye shule zake na hasa zile za kata...haya ndo mazao ya shule za kata.

Kipindi kile shule za serikali zilikuwa zinawakilishwa na Ilboru, Mzumbe, TB Boys na Kibaha. Wakafuta mpango wa kuwa na shule za vipaji na sasa hadi Ilboru kuna Div Zero (0) kama 5 hivi.
 
Kubwajinga

Kubwajinga

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2008
Messages
2,190
Likes
21
Points
135
Kubwajinga

Kubwajinga

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2008
2,190 21 135
Inasikitisha kuona kuwa shule za serikali zinazidi kurudi nyuma na kupitwa na za binafsi licha ya kupokea wanafunzi waliofaulu zaidi kutoka darasa la saba. Mwaka huu hakuna hata shule moja ya serikali kwenye top 10. Utawala wa JK hapo napo wana kisingizio gani?
 
epigenetics

epigenetics

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2008
Messages
266
Likes
31
Points
45
epigenetics

epigenetics

JF-Expert Member
Joined May 25, 2008
266 31 45
Mi wapangaji huwa wananiudhi, kwanini walifuta shule za vipaji?
 
Sipo

Sipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2008
Messages
2,146
Likes
38
Points
0
Sipo

Sipo

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2008
2,146 38 0
Hongereni sana Marian walimu pamoja na wanafunzi wote

Wewe mdogo wangu unayesoma hapo jitahidi sana nawe ukija kumaliza ufaulu vizuri. Tunawaombea wote

Shule zilizofanya vibaya msikate tamaa, kazeni buti
 
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
606
Likes
14
Points
35
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
606 14 35
Mi wapangaji huwa wananiudhi, kwanini walifuta shule za vipaji?
wakuu,shule za vipaji hazijafutwa ila tu ukienda huko mambo yalivyo sasa ni aibu hakuna walimu na hata Lab pia ni utata,
shule hizo bado zipo ila zina matatizo makubwa mno!!!
 
Sipo

Sipo

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2008
Messages
2,146
Likes
38
Points
0
Sipo

Sipo

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2008
2,146 38 0
Mi wapangaji huwa wananiudhi, kwanini walifuta shule za vipaji?
hizi shule zilishaanza kutumika vibaya na wakubwa na watu wenye uwezo, haiwezekani watoto wa mawaziri na wabunge ndio wawe na vipaji maalumu tu. Ilishaanza kuonekana Ilboru inajazwa na watoto wa wakubwa tu

Mimi naunga mkono kuzifuta shule hizi na kuziondolea hadhi ya uvipaji maalum
 
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
606
Likes
14
Points
35
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
606 14 35
hizi shule zilishaanza kutumika vibaya na wakubwa na watu wenye uwezo, haiwezekani watoto wa mawaziri na wabunge ndio wawe na vipaji maalumu tu. Ilishaanza kuonekana Ilboru inajazwa na watoto wa wakubwa tu

Mimi naunga mkono kuzifuta shule hizi na kuziondolea hadhi ya uvipaji maalum
Mzee me nakupinga sana,me nimesoma moja ya shule hizo na hakuna watoto wa mawaziri waliokuwa wanaingia kwa wizi,kwani usomaji tu wa shule hizo enzi yetu we mwenyewe waweza kimbia kama ni mamluki.
 
M

mtatifikolo

Member
Joined
Feb 9, 2008
Messages
43
Likes
1
Points
0
M

mtatifikolo

Member
Joined Feb 9, 2008
43 1 0
shule hizo bado zipo ila nadhani mantiki ya kuchukua waliofaulu kwa maksi za juu ktk mtihani wa darasa la 7 nadhani wameacha. Matokeo yake wamekuwa wakimchukua mwanafunzi yeyote ili ku'dilute the special school effect.

Enzi zile kulikuwa hamna hata walimu na wanafunzi walikuwa wanabidii zao binafsi na competition ya hali ya juu ndio maana walikuwa wanaongoza. Mimi sioni ubaya wowote wa kuwakusanya "vichwa" na kuwapeleka shule moja kama zamani. Cha maana ni kuwapa resources muhimu kuendeleza vipaji vyao. Au hata kuwapa mitihani special kwa ajili yao tu, ambayo itakuwa challenging zaidi
 

Forum statistics

Threads 1,235,149
Members 474,353
Posts 29,213,295