C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 332
- 494
Civilian-CoinKumekucha 😂
Deo Kiswaswandu....
Inasikitisha sana.Aliemroga huyu kaka mbingu ataishia kuisoma kwenye vitabu.
Inasikitisha sana ,jamaa anahitaji matibabu ,mimi namjua jamaa mmoja hivi aliwahi kupata matatizo ya afya ya akili ila now yupo sawa ila alipewa matibabu na huyu inabidi ndugu zake wampekele kupatiwa matibabu ,kama anaweza kupost youtube means ni kama maji kupwa maji kujaa yaani mwezi mchanga.Winbo mkali sana, nchi hii hakuna msanii mkali kama civilian coin
Ni kweli kaka ndugu yetu huyu anahitaji msaada wa matibabu, ndugu zake wa karibu wasichukulie poaInasikitisha sana ,jamaa anahitaji matibabu ,mimi namjua jamaa mmoja hivi aliwahi kupata matatizo ya afya ya akili ila now yupo sawa ila alipewa matibabu na huyu inabidi ndugu zake wampekele kupatiwa matibabu ,kama anaweza kupost youtube means ni kama maji kupwa maji kujaa yaani mwezi mchanga.
Anahitaji msaada atapona fresh akipata matibabu sahihi.Ni kweli kaka ndugu yetu huyu anahitaji msaada wa matibabu, ndugu zake wa karibu wasichukulie poa
Woorap😂😂😂 hatari fire master