Maria Sarungi only God knows where she came from

Huey freeman

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
593
Reaction score
248
Nianze kumpa pongezi mh.Zitto Kabwe kuungana na wananchi wengine kupinga kitendo cha Ccm kutumia mabavu kuandika katiba wanayoitaka wao.

Maria Sarungi nimekosa neno la kumwambia na sijui mwanamke wa umri wake ametolea wapi huo moyo wa kuacha kuchukua zaidi ya mil. 20 za vikao na kuamua kusimamia ukweli. Maria Sarungi ni mzalendo ni mfano wa kuigwa na tukishinda hili historia itamuandika vizuri.

Sijui ametokea wapi huyu binti. My words are not enough to express how great this woman is.

Maria Sarungi ni mjumbe wa bunge la katiba kutoka kundi la 201. Hajarudi kwenye bunge la intarahamwe naona maneno ya jaji warioba na wale ma prof aliya elewa vizuri.
 
Masisi emu ni meeezi!!eti mwizi anajitngia sheria uliona wapi.ccm mapimbi tu
 
Like daughter like fathers
 

Mkuu, hebu andika kitu kwa ufasaha
Maria Kafanyaje, karudi Bungeni na kuyapa ma Intarahamwe za uso ukumbini ama ????
Zitto anafuata nini hapa ilhali Heading ni ya Maria.
Hebu eleza kwa kirefu
 
Andika ili kila msomaji aelewe unaongelea nini? kuna wengi hawamjui Maria, anafanya nini, kafanya nini, kwanini, na wapi. Toa maelezo ya kina ili tujue
 
True acts of sacrifice win hearts and minds. UKAWA doing the right thing.
 
Mkuu, hebu andika kitu kwa ufasaha
Maria Kafanyaje, karudi Bungeni na kuyapa ma Intarahamwe za uso ukumbini ama ????
Zitto anafuata nini hapa ilhali Heading ni ya Maria.
Hebu eleza kwa kirefu

hajarudi she made my day
 

Attachments

  • 10547541_10201519995842118_8310373659004717989_n.jpg
    15.1 KB · Views: 1,454

Hii picha ni ya lini ?
 
usipate kiwewe wala hamshindi. badala yake mmewapa ccm fulsa kuonyesha jinsi walivyo chama makini.
 
usipate kiwewe wala hamshindi. badala yake mmewapa ccm fulsa kuonyesha jinsi walivyo chama makini.
teh teh, ccm ni chama makini kivip? Kwa huo uchakachuaji unaoendelea hapo dodoma ama.. Maana kinachofanyika hapo dodoma ni utafunaji bilioni 24 za watanzania masikini bure! Hakuna katiba mpya hapo zaidi ya maigizo!
 
Its so self evident that she came from her White mama's puthy, that even Allah knows it.
 
Yule Mama kajirudia Bungeni kisa anasomesha Watoto ! hahahahahaha Amekana Ukawa chezea laki tatu wewe !
 
She is really patriotic, brilliant, long sighted, broad minded and above all she is beautiful!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…