Waziri mkuu mstaafu wa Uingereza Bi Margaret Thatcher amekufa kwa strokeakiwa na umri wa miaka 87. Huyu mama atakumbukwa kwa ushirikiano wake na Rais Regan wa marekani katika kuimarisha mfumo wa ubeberu duniani.
RIP
Source bofya hapa chini
Margaret Thatcher dies of stroke aged 87 - Telegraph
Masaburi yako! Apumzike kwa amani
kumbe ulimaanisha hivyo? Anyway ngoja nimsaidie JK kuandaa logistics za kwenda UK kuhudhuria maziko
Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza ameaga dunia.
Source: skynews.
ooh no.....mazishi ni lini tuhudhurie....?
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza amefariki Dunia#Magret Thachter maarufu kama IRON LADY
Inakera sana, hii habari ya kurushana roho imeanza lini? bora ungekufa wewe
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza amefariki Dunia#Magret Thachter maarufu kama IRON LADY
unaweza ukamtanguliaBado Bw.Mandela naye anauweka bado usiku tu, ma-terrorist wenzake wote washavuta alianza Bw. Reagan sasa amefwatia Bi. Thatcher!