Miaka hiyo ya themanini, kwenye taarifa ya habari wakati huo RTD wakitangaza jina lake nilikuwa nasikia kama Margaret Chacha.Pumzika Mungu aliko kupangia
Waziri mkuu mstaafu wa Uingereza Bi Margaret Thatcher amekufa kwa strokeakiwa na umri wa miaka 87. Huyu mama atakumbukwa kwa ushirikiano wake na Rais Regan wa marekani katika kuimarisha mfumo wa ubeberu duniani.

unfortunately, umekimbilia ku-post ku-attract-attention. Na heading umeiandika kimaksudi bila kuweka wazi ni waziri mkuu wa nchi gani...! next time grow up...
Miaka hiyo ya themanini, kwenye taarifa ya habari wakati huo RTD wakitangaza jina lake nilikuwa nasikia kama Margaret Chacha.Pumzika Mungu aliko kupangia
Waziri mkuu mstaafu wa Uingereza Bi Margaret Thatcher amekufa kwa strokeakiwa na umri wa miaka 87. Huyu mama atakumbukwa kwa ushirikiano wake na Rais Regan wa marekani katika kuimarisha mfumo wa ubeberu duniani.
du kuna watu wanapenda kuwavuta watu, du kweli kichwa cha habari ndio kinachouza. aya wape polen familia yake. ila siku nyingine weka wazi hapa si blogs z wajanjawajanja ni kwa nyumba ya watu wanaofikiri kwa kina.