Mkuu unataka tuendeleze vipi wakati hayo ni mawazo na utafiti wako ulioufanya! Labda ungetoa pia mawazo mbadala kwenye moja ya thread zako jinsi ambavyo wewe umekuwa muadilifu kwa hili.
Tayari yaleyale ya kuchukulia vitu personal..soma namba mbili hapo juu
Nakubaliana na wewe to some extent!...Japokuwa unaposema pumba zimekuwa nyingi sielewi its from what point of view!, maana wewe unazoona ni pumba wenzio ndo wanaona ishu, na ishu zako watu wengine wanaweza kuona PUMBA, labda unge'cite live examples za hizo pumba ili tuzichambue kwa pamoja na tuone zinaangukia zaidi wapi!....
Na je unaposema JUKWAA KUU ni lile la SIASA, Hii imetangazwa lini, au mimi niko nyuma ya wakati?...Hivi kuna majukwaa madogo hapa, au yapo yanayokosa wachangiaji, ndo ukayaita madogo!..Anyway, u r entitled to all what you said, na sioni kwanini unahofia MODS kukukamata mapembe, hujamtukana mtu mkuu!
Huyu bwana anataka kulazimisha akili zake tuzichanganye na za kwetu!!mimi naona acha mambo yaendelee kama yalivyo,tuko wengi sana hapa JF kila mtu na akili zake.Pale unapokuta PUMBA,vumilia...chapchap tafuta ulipomchele ufaidi.Mods wanajitahidi sana sana na siku zote nashangaa wazimuduje kazi zote hizi mathread kibaoooo kila siku.
Nafikiri hii siyo ishu wakati mwingine mtu hupost topic kwenye jukwaa lisilohusika lakini baada ya Muda MODs huipeleka kwenye jukwaa husika maana siyo ishu ya kusema uifungulie topic na siyo kosa mtu kupost topic kwenye Jukwaa lisilohusika wengine bado wachanga wa ving'amuzi.Naweza kuanza ku-justfy baadhi ya niliyoyasema...mfano wa hoja namba nne hapo juu ni kama ifuatavyo: ukienda kwenye jukwaa la siasa hivi sasa utakuta thread iliyowekwa jana na somebody TRACE yenye kichwa cha habari: "Startrimes ipo nyuma ya nani?".....sasa hili linahusiana vipi na siasa..hata nilipoisoma haikuwa na uhusiano wowote na masuala ya siasa
Nafikiri hii siyo ishu wakati mwingine mtu hupost topic kwenye jukwaa lisilohusika lakini baada ya Muda MODs huipeleka kwenye jukwaa husika maana siyo ishu ya kusema uifungulie topic na siyo kosa mtu kupost topic kwenye Jukwaa lisilohusika wengine bado wachanga wa ving'amuzi.
Hata ya kwako kutokana na uliyoandika ungeipeleka kwenye Jukwaa la complain na siyo kwenye Hoja Mchanganyiko kama kweli uko 'smart':dance: ila pengine na wewe ni mmojawapo uliyeshindwa kujua hii post yako inafaa Jukwaa gani.