pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Hatuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu
marekani aliwahi kusema hana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu wakati flani alikuwa rafiki mkubwa wa Iraq wakashirikiana wakaipiga iran baada ya muda akashirikiana na iran wakampiga na kumuua sadam HuseniSasa South Korea wameshindwa kuelewana na North Korea wanadhani wataelewana na USA? Labda kama watakubali USA achukue chochote atakachokua anakitaka kutoka kwao vinginevyo wanatumika kama mtaji wa USA
kumshambulia North Korea.
Huu mtambo ulishajengwa kitambo sana kuzunguka jiji la seoul na sio project ya leo
Mkuu inaonekna range yako ya akili ni ndogo sana Unasema unacho kiwaza? je! Huko si Ndo kuota mchana au mtu akisema unaota mchana maanake Nini ?... Yana Wewe Unajua kuwa THAAD ni weak inamana Wewe na Pentagon Nani mwenye THAAD? Leta unbiased thoughts sio kuleta Unacho kiwaza Mkuu.Tatizo wewe na wenziyo wote wanaofanana na wewe humu mna "addiction" (usugu) ya umaarufu wa marekani na ikishindwa mko tayari kujiua! Fuatilia uwezo na udhaifu wa hiyo mitambo upate elimu badala ya kubaki na huo usugu ulio nao! Kwa uchache tu ukiacha matatizo ya kiufundi kama tu ambavyo gari au ndege hupata hitirafu; mitambo hiyo pia inaripotiwa kuwa haina uwezo wa kupambana na makombora mengi yanayokuja kwa pamoja na pia yale yanayoenda kwa super sonic speed. Kinachoendelea sasa ni psychological warfare na hili ndilo huelewi!Hivi hujiulizi meli na ndege za nyukilia wanazipeleka za nini?! Wanazipeleka ili kama watawamaliza(usa) na usa wawamalize North Korea ili ngoma iwe draw. Nyukilia moja tu kwa New York au Washington ni zaidi ya tsunami! Uchumi usiyumbe hapo?! Na ndiyo huo mwisho wa marekani kiuchumi.China inakuja kuchukua nafasi.