political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,873
- 6,136
Serikali ya Marekani imeufuta mradi wa Tanzania NCO Development ambao ulikuwa na thamani ya dola million 3.1
Mradi huo ambao ulikuwa ni mradi wa Marekani kutoa mafunzo ya kijeshi kwa wanajeshi wa Tanzania wenye vyeo vya chini ( Non officers) , Marekani imefikia hatua hiyo ya kusitisha mradi huo kwa madai kuwa mradi huo wa mafunzo haujakidhi viwango wa ufanisi na kwamba Marekani haijaridhishwa na matokeo ya mradi huo ambao ni sehemu ya ushirikiano wa kijeshi na kati ya Marekani na Tanzania
Sio Tanzania pekee iliyokumbwa na adha hii ya kusitishwa kwa miradi yake na Marekani kwani wizara ya mambo ya nje ya Marekani inafanya upembuzi wa miradi ya nje ambayo haileti ufanisi kwa Marekani pamoja na kuokoa kodi ya raia wa Marekani
Hadi kufikia leo miradi 108 imesitishwa kwenye nchi mbalimbali duniani na kupelekea Marekani kukomboa kiasi cha dola billion 5.8