Corona2020
Senior Member
- Feb 8, 2020
- 142
- 391
Kwa akili hizi kuna watu wanakutegemea?shoigu angejua mission ya hiyo ndege asingewapa nishani!
Watafanya kosa lingine kuitoa hiyo ndege baharini ili kuichunguza kumbe inawachunguza kwa uka ukaribu!
Ujanja sio kuwahi bali ni KUPATA!