Marekani yatuhumiwa kuchochea vita

Watu wengine tabu tupu hivi kujitia ukiziwi na kutokuona ukweli ndio sifa!?

Kubali kweli hata kama inatoka kwa usiye mpenda, na kataa uongo hata kama inatoka kwa unaye mpenda.
 


Huitaji kuwa muislam kuelewa kua Wamarikani wanchochea vita duniani, hiyo greencard unayo isubiri itakutesa sana na utaendelea kuwa mtumwa wa kufikiri mpaka unakufa

Chuki zako na uislam hazito wanyima watu usingizi, converters wanaongezeka siku hadi siku, wewe na mabwana zako unaowasujudia wamerikani endeleeni na propagander za kijinga ambazo watu wamesh zishtukia

Simply; America is the biggest terrorist around the world
 

Mkuu asante kwa ufafanuzi yakinifu.

Huwa nashangaa kusoma kuwa eti Ayatollah naye ni sawa na Marehemu Muham-mad. Inashangaza kuona kuwa allah bado anashusha Koran kupitia Ayatollah. lol.

Jamaa wanaogopa kujibu hawa.

 

Kunguwani!!! Waislamu bana, yani lazima waonyeshe jazba.
 
Mkuu asante kwa ufafanuzi yakinifu.

Huwa nashangaa kusoma kuwa eti Ayatollah naye ni sawa na Marehemu Muham-mad. Inashangaza kuona kuwa allah bado anashusha Koran kupitia Ayatollah. lol.

Jamaa wanaogopa kujibu hawa.




Unamatatizo ya kuelewa thread, rudi nyuma kasome tena utaonakuwa, hakuna mtu hapa jf alie sema Ayatollah ni sawa na mtume Muhamma Swala llahu aly wasallam.

Utakacho kiuna ni kuwa watu waislam na wakiristo modreate wanakubaliana ya kuwa Marikani ndio wana palilia vita duniani, hili haliitaji rocket science kulielewa, labda kama kazi yako ni kufumba macho clubuni
 


Neno Ayatollah ni jina, cheo, wadhifa au nini?
 
Buy a book titled "Ayatollas in Iran" by Imran Husein please


Hivi huu uoga wa kusema umekuanza tokea lini? Why Ayat-ollahs, who are these katika deen yako? Huoni hilo jina ni integral of Ayat and allah!!!

Ndio maana nikakuuliza, hivi allah wako bado anashusha ayats kupita ayatollah? Hivi wewe kama muislamu, nini hasa unafuata? Allah? Marehemu Muham-mad? Koran ya Gibril? Islam? Ayahtollah? Ni nani hasa mnafuata ninyi wafuasi wa allah kiumbe?
 

Utumbo!
 

Hakuna anayewaletea vita,vita mnajiletea wenyewe....Saudi Arabia hawataki Iran wawe na nyukilia,sasa Saudi Arabia si waislam?
Waarabu wanajichanganya halafu kuna wafuata mkumbo...Nyie wafwata mkumbo ni shiite ama wahabi sunis?
 
Hakuna anayewaletea vita,vita mnajiletea wenyewe....Saudi Arabia hawataki Iran wawe na nyukilia,sasa Saudi Arabia si waislam?
Waarabu wanajichanganya halafu kuna wafuata mkumbo...Nyie wafwata mkumbo ni shiite ama wahabi sunis?

Saudi King is the western toilet paper does NOT represent muslims views even of his own country leave alone others
 
Saudi King is the western toilet paper does represent muslims views even of his own country leave alone others

Astakafulahi, yaani ni toilet paper at the same time wana represent muslims views? So, you guys are are what?

Duh, kweli kuna kaazi kwenye deen ya Mnyaazi Mungu!!
 
Tumaini unataka Tanzania iwe na sharia law?Saud Arabia hawawezi kukubali Mascum bag kama wewe,eti kwa sababu wewe Tumaini ni Mwislamu!Ulaya imewakaribisha rejects wengi kama Tumaini,sasa wanajuta wenyewe.

Chuki uliyonayo Tumaini ni ya ajabu,maana unatumia JF kuendeleza kujustify u hard core wako,nafikiri hapa JF wengi tunajali maslahi ya taifa letu,kuliko mambo ya waarabu na wairan.

Tumaini nenda afghanistan au palestine ukawalipue wamerekani na wajew ulidhike
 

Utumbo
 
Naona umepata ka vocabulary kapya.

Utumbo. lol

Wewe mpaka koran umeshaiita, utumbo! Sasa unadai eti Saudi King is the western toilet paper does represent muslims views. Hii kufuru utaiacha lini weye!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…