Marekani yatoa msaada wa silaha waaasi huko Syria

Marekani yatoa msaada wa silaha waaasi huko Syria

Huko washafanya uwanja wa majaribio ya silaha
 
Russia ianze kutungua hivyo vindege vya US vinavyotumika kuwapa waasi silaha.
Muda si muda hizo sialaha za marekani zitaanza kudungua hizo ndege za mrusi na za asad,jaribu kurejea afghanstan-talibani walipopewa [FONT=arial, sans-serif]STINGER (SAM) [/FONT]hali ilikuwaje kwa Mrusi,upepo waweza badilika muda wowote
 
Nakumbuka ule msemo wa zamani wa Mao Tse Tung: HATARI YA KUTOKEA VITA VYA TATU VYA DUNIA BADO INGALIPO,MATAIFA YOTE SHARTI YAJIANDAE...
 
Muda si muda hizo sialaha za marekani zitaanza kudungua hizo ndege za mrusi na za asad,jaribu kurejea afghanstan-talibani walipopewa [FONT=arial, sans-serif]STINGER (SAM) [/FONT]hali ilikuwaje kwa Mrusi,upepo waweza badilika muda wowote

Hivi wewe unadhani urusi ni sawa na iran? Ile ni super power na urusi ndio wataalam wa teknolojia zote za makombora ikiwemo ile ya makombora yanayoruka kutoka bara moja hadi lingine.

Kule ukraine marekani ilishanyang'anywa koloni lake na urusi, mbona hajapeleka troops kuisaidia ukraine?
 
sijafananisha urusi na iran maana hazifanani kwa kila kitu-zaid ya kuwa marafiki-kwenye swala la know-how ya makombora nakataa-ICBM za US zipo safi,kuliko za rusia,US wana trident 2 with more MIRV kuliko nchi nyingne,russia wana ICBM zenye paylod kubwa kuliko wengine-US wana ICBM zenye accurace nzuri kuliko wenzao.all in all kama stinger zilivobadili hali Afghanstan,hizi anti tank missile wanazopewa huko syria na wakipewa SAM hali itabadilika tu,lazima wengine wfanye retreat
 
Hi movie inanoga sana kwa kusoma ifanyike mpango itolewe movie series itauza sana
 
Back
Top Bottom