Marekani yapata Waziri wa Ulinzi wa kwanza mweusi

Aliingia obama mtu mwenye asili ya afrika Ghadafi akauawa.

Ameingia huyu tegemea makubwa na magumu yanakuja. Mchawi mpe mwanao akulelee end of story.
Sawa, hivi akiondoa madikteata wawili wa afrika unaweza kukuta DRC wanapata amani ya kudumu
 
Uelewa wako mdogo. Hujui siasa za marekani ni bora unyamaze tu. Yani mweusi kuchaguliwa ndo unaona unlongozi wa marekani unapenda watu weusi. Hizo ni game wanaplay. Mzungu hajawahi kukupenda. Toka kwenye huo ujinga
We jamaa umekariri maneno ya mwalimu wa kemia.
 
Uelewa wako mdogo. Hujui siasa za marekani ni bora unyamaze tu. Yani mweusi kuchaguliwa ndo unaona unlongozi wa marekani unapenda watu weusi. Hizo ni game wanaplay. Mzungu hajawahi kukupenda. Toka kwenye huo ujinga
Muulize Obama miak 8 alifanya nini kwa watu weusi tofauti na teuzi??..Nigga knows nothing msamehe tu
 
Alikuwa pia Board member wa Raytheon Technologies defense weapons constructor,...Ma Ganerali wengi Pentagon wapo kwenye Payroll ya makampuni ya silaha,hata huyu Lloyd Austin pia...
 
Badili uraia. Hakikisha una degree kabisa before huja apply.
Mkuu sina degree mimi darasa la saba tu ..nataka nizamie usa kupitia Mexico (Mehico) nikifika huko najichangaya tu kwenye kambi yeyote ya jeshi nawalilia hadi wanikubalie kuingia jeshi.
Baada ya hapo nitakuwa nimevaa kombat yao ..nipe huu mwaka tu ..mwakani naleta mrejesho
Mitano tena


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
unadhani lile ni jeshi la washkaji. man bila college degree huendi mahali.
wenzetu wana standard na hawayumbi.

goodluck na safari yako man. ila hawatambui darasa la saba ya bongo.
 
Gaddafi ilibidi apigwe tu maana alihusika katika kuipa support Uganda wakati wa vita na moja kati agenda yake kubwa ilikuwa ni kusambaza dini hivyo basi God bless America.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…