Marekani yapata Waziri wa Ulinzi wa kwanza mweusi

Screenshot_20210130-211834_Instagram.jpg
 
Uelewa wako mdogo. Hujui siasa za marekani ni bora unyamaze tu. Yani mweusi kuchaguliwa ndo unaona unlongozi wa marekani unapenda watu weusi. Hizo ni game wanaplay. Mzungu hajawahi kukupenda. Toka kwenye huo ujinga
We jamaa umekariri maneno ya mwalimu wa kemia.
 
Uelewa wako mdogo. Hujui siasa za marekani ni bora unyamaze tu. Yani mweusi kuchaguliwa ndo unaona unlongozi wa marekani unapenda watu weusi. Hizo ni game wanaplay. Mzungu hajawahi kukupenda. Toka kwenye huo ujinga
Muulize Obama miak 8 alifanya nini kwa watu weusi tofauti na teuzi??..Nigga knows nothing msamehe tu :D
 
Alikuwa pia Board member wa Raytheon Technologies defense weapons constructor,...Ma Ganerali wengi Pentagon wapo kwenye Payroll ya makampuni ya silaha,hata huyu Lloyd Austin pia...
 
Badili uraia. Hakikisha una degree kabisa before huja apply.
Mkuu sina degree mimi darasa la saba tu ..nataka nizamie usa kupitia Mexico (Mehico) nikifika huko najichangaya tu kwenye kambi yeyote ya jeshi nawalilia hadi wanikubalie kuingia jeshi.
Baada ya hapo nitakuwa nimevaa kombat yao ..nipe huu mwaka tu ..mwakani naleta mrejesho
Mitano tena

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
unadhani lile ni jeshi la washkaji. man bila college degree huendi mahali.
wenzetu wana standard na hawayumbi.

goodluck na safari yako man. ila hawatambui darasa la saba ya bongo.
 
Gaddafi ilibidi apigwe tu maana alihusika katika kuipa support Uganda wakati wa vita na moja kati agenda yake kubwa ilikuwa ni kusambaza dini hivyo basi God bless America.
Wewe ni Mmoja kati ya waafrika msiojitambua na hamuna imani wala huruma,,,Gadafi alijenga mahusiano mazuri na nchi za afrika na kutufanyia mambo makubwa na yakheri kama vile nyumba za ibada n.k. wewe kama nani umkosoe!!! Unajua baadhi yenu mnamatatizo sana, mnamchukia mtu kutokana na dini yake na uarabu wake, na ndicho kilichopelekea ninyi mfurahie na kupiga vigelegele kifo chake dhidi ya huyo kafiri/ndugu yako obama laanatullah alaihi.

Huyo ni ndugu yetu haswaa kuliko hata wewe usiempenda na huyo ndugu yako/kafiri obama na mashoga wenzie.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom