Marekani yamuweka Magufuli njiapanda

Marekani yamuweka Magufuli njiapanda

Jmani tukumbuke ZANZIBAR NA KUIOMBEA SANA MAANA KAMA SI UROHO WA MADARAKA INGEKUA NA AMANI NA KUJISIKIA HURU SIKU NINGIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Mstari wako wa kwanza naupinga kidogo ila wa pili naupendaaaaaaaa sana. Tuliungana nchi hizi zikiwa huru ila kwa sasa nikama zenji imekua kamkoa flani hivi kweli kanakopuuziwa haki yake ya msingi kisa uroho wa madaraka. Its time now.

Thank u,
Na tunataka kuifanya Znz iwe Jamuhuri ya muungano wa kiislam.
#FreeZnz#
 
Vipi bunge nalo litakaa bila wawakilishi januari??????? Na wakija wasiohitajika itakuwaje???????? Na mgogoro ukizidi bungeni kuhusu hili swala, si kwamba ndo huu msaada tutausikilizia kwa jirani????????? Na mwishowake ni nini????? Mh!!!!!!!!!!!!! Bora arusha siyo nchi maana sjui ingekuaje jamani.
 
unaonekana una mawazo ya kitumwa kabisa na kupenda kusaidiwasaidiwa, hivyo vi misaada vyao wala huwa havitusaidii chochote, kutafuta namna ya kutotegemea vijisenti vyao ni swala la lazima kama ww huoni hili lazima uwe na tatizo

We ndio mtumwa . Tutafute namna ya kujitegemea Huku tukitoa haki kwa wananchi. Waacheni wazanzibari wajiamulie mambo yao
 
Magufuli asimamie kodi zaidi kuliko kutegemea miisaada. Kenya walifanyiwa hivyo miaka ya nyuma, wakaamua kukusanya kodi ya kutosha kuendesha serikali na kulipia miradi ya maendele, halfu wahisani hao wakarudi wenyewe

Unaweza kua na point but unalizungumziaje suala la Zanzibar? Bila kujali kama kuna msaada au laa.
 
unaonekana una mawazo ya kitumwa kabisa na kupenda kusaidiwasaidiwa, hivyo vi misaada vyao wala huwa havitusaidii chochote, kutafuta namna ya kutotegemea vijisenti vyao ni swala la lazima kama ww huoni hili lazima uwe na tatizo

Raisi wako alikuwa kiguu na njia kwenda kuomba na aliporudi alitoa hotuba za matumaini,tulipopaza sauti kuwa anasafiri sana na anatumia gharama nyingi kuliko na anachokwenda kuhemea mkatupinga na kusema tusiishi kwenye dunia kama kisiwa..Leo wewe unachokiona hapa ni pesa(soma bandiko lako nililokujibu) ila hauoni hatari inayoweza kutokea kwa kuminya haki za Watanzania wenzetu(Zanzibar) kisa ulafi tu wa madaraka. Haya sasa, kaa la moto hilo na mlimeze kimya kimya bila ya ya kutoa chozi, tusio na vyetu tulishazoea kuishi hivyo tabu ipo kwenu mafisadi mliotanguliza viapande vya pesa na kusigina utu.

Endeleeni kuganda papo hapo..

Nnarudia tena, "tuna UHURU wa bendera na sijui kama unaelewa juu ya hilo.
 
Kwani mpaka leo bado hawajaisoma namba hao wamarekani na vipesa vyao uchwara? waendelee kutusubiri 2030 tutakwenda kuwatembelea na kuwasalimia lakini si kwa kuwaomba visenti vyao vya wizi na mizengwe

WaTz mnasononesha yaani Tz hii ya JPM isomwe namba na U.S.A ????????????!!
 
aah ww mtata sana, ila ni mawazo yako japo hayana ukweli

Raisi wako alikuwa kiguu na njia kwenda kuomba na aliporudi alitoa hotuba za matumaini,tulipopaza sauti kuwa anasafiri sana na anatumia gharama nyingi kuliko na anachokwenda kuhemea mkatupinga na kusema tusiishi kwenye dunia kama kisiwa..Leo wewe unachokiona hapa ni pesa(soma bandiko lako nililokujibu) ila hauoni hatari inayoweza kutokea kwa kuminya haki za Watanzania wenzetu(Zanzibar) kisa ulafi tu wa madaraka. Haya sasa, kaa la moto hilo na mlimeze kimya kimya bila ya ya kutoa chozi, tusio na vyetu tulishazoea kuishi hivyo tabu ipo kwenu mafisadi mliotanguliza viapande vya pesa na kusigina utu.

Endeleeni kuganda papo hapo..

Nnarudia tena, "tuna UHURU wa bendera na sijui kama unaelewa juu ya hilo.
 
Hizo hela za mcc hatuziwezi maana hatuna democracia na haipo kabisa.
 
WaTz mnasononesha yaani Tz hii ya JPM isomwe namba na U.S.A ????????????!!

Ndugu yangu Odhiambo ukiwa kwenye shida ndo mda muafaka wa kufunga mkanda na kufanya yale ambayo huenda uliyaona hayawezekani ..don't scare yourself at all!
 
Hizo hela za mcc hatuziwezi maana hatuna democracia na haipo kabisa.

Kawaulize wamarekani weusi kama kweli marekani kuna demokrasia ..usiwe kasuku wa wazungu na ukajishusha.
 
Back
Top Bottom