Kagame is hero for many and not for only Rwandese,his country is almost free of corruptions,the guy has integrity to fight mafisadi and poverty na matokeo yanaonekana,pls stop the ---- na akili zako za panziJema lipi nawafanyia wanyarwanda?, fyi ananeemeka yeye zaidi na familia yake, wananchi wengi wanaogelea katika umaskini uliokithiri.:A S 27:
Mukamasimba, Murutongole na Koba nafikiri wana matatizo ya kufikiri au wamelewa propaganda za RPF. Mi nitawasubiri pale Rusumo 2017, kama mtafika salama!
Haaaa haaa aaaahh...utasubiri sana mshamba wewe,sana sana soon or later wewe na mkeo ndio mtajikuta hapo rusumo mmepanga Foleni kuingia Rwanda kutafuta Kazi za kubeba box
As long as he's doing a lot of good for his country, I really don't care about huo ukabila. Ninyi msiokuwa na ukabila mko wapi?
Hakuna zuri analofanya uzuri wa kuua binadamu wenzie
Another know nothing idiot,Huna idea na unachoandika so keep yapping ushuzi wako ila Rwanda is moving forward for better and getting stronger everyday.
the economy of rwanda is being builty on the basis of theft and plunder of congo drc resources,hata pipi wanazopeleka nje ya nchi hakuna,kuna hii dhana inayojengeka hapa jf inayosema eti rwanda kuna maendeleo kuliko tz, imebidi niingie kwenye net ku check cia economy factbook ili ni compare rwanda na tz cha ajabu tz iko mbali sana ukilinganisha na rwd, kwa mfano mwaka 2012 per capital income tz ni usd 1700 wakati rwd ni 660, percent ya pop below povert line tz ni 32 wakati rwanda ni 55, na kwa common sense watu wa rwanda ndiyo wanaotoroka kwao kuja tz na siyo wa tz kwenda rwanda hii inamanisha nini!!!haya majivuni kwamba rwanda inamaendeleo kuliko tz yanatoka wapi!!!!!
the economy of rwanda is being builty on the basis of theft and plunder of congo drc resources,hata pipi wanazopeleka nje ya nchi hakuna,
kuna hii dhana inayojengeka hapa jf inayosema eti rwanda kuna maendeleo kuliko tz, imebidi niingie kwenye net ku check cia economy factbook ili ni compare rwanda na tz cha ajabu tz iko mbali sana ukilinganisha na rwd, kwa mfano mwaka 2012 per capital income tz ni usd 1700 wakati rwd ni 660, percent ya pop below povert line tz ni 32 wakati rwanda ni 55, na kwa common sense watu wa rwanda ndiyo wanaotoroka kwao kuja tz na siyo wa tz kwenda rwanda hii inamanisha nini!!!haya majivuni kwamba rwanda inamaendeleo kuliko tz yanatoka wapi!!!!!

Ni madini mnayoiba kongo,no serious investor in mining will ever think of rwanda
jk huyo kaitwa na obama.wanachoenda ongea mimi nawe hatujui. Lets wait and see!
....hope more than saddam,ghaddafi,savimbi,mubarack and the like!?Usisahau na kabila,but haeata muweza pk ni smart person.
Uliwahi kuishi Rwanda au unatoa Mawazo yako kwa kufikirika lkn huna uhakika na ulichokiandika mkuu.
Rwanda hakuna ukabila kwa sasa . na ukitaka ukimbizwe Rwanda nenda huko uanze kuuliza eti wewe kabila gani.
Hata baada tu ya vita, miaka miwili baada ya vita nilikuwa Rwanda . hivyo naongea kwa uhakika.
Nilikuwa Nyamirambo, baadae kachikilo(handiwork hivyo) ,na mwisho niliishi Butale matyazo avenue.usije ukazungumza ukabila kule.
Usisahau na kabila,but haeata muweza pk ni smart person.
Jibu swali uloulizwa..."nyie msiokuwa na ukabila mko wapi?" sio kuharisha maneno tu yasio kuwa na msingi. Nyambafu.