Mkuu maisha ya wanyaruanda yapo mikononi mwa Mungu!huyu PK aende kuzimu na Rwanda itabaki salama!
Tanzania hatupashwi kuwa na ushirikiano na huyu Kagame ambaye ni muuaji mkubwa wa binadamu wenzake. Ushirikiano wetu na huyu mtu kwa sasa lazima uchukuliwe kwa tahadhari kubwa. I will hate this Man (Monkey) forever.
Uliwahi kuishi Rwanda au unatoa Mawazo yako kwa kufikirika lkn huna uhakika na ulichokiandika mkuu.
Rwanda hakuna ukabila kwa sasa . na ukitaka ukimbizwe Rwanda nenda huko uanze kuuliza eti wewe kabila gani.
Hata baada tu ya vita, miaka miwili baada ya vita nilikuwa Rwanda . hivyo naongea kwa uhakika.
Nilikuwa Nyamirambo, baadae kachikilo(handiwork hivyo) ,na mwisho niliishi Butale matyazo avenue.usije ukazungumza ukabila kule.
huyu jamaa atakuja kufa kifo kibaya sana!
As long as he's doing a lot of good for his country, I really don't care about huo ukabila. Ninyi msiokuwa na ukabila mko wapi?
"We are troubled by the succession of what appear to be politically motivated murders of prominent Rwandan exiles."NA MWANDISHI WETU
"Tuna wasiwasi na mfululizo wa mauaji ya wanasiasa maarufu nchini Rwanda," alisema Psaki.
Huo uzuri wa kazi yake ni nini kama ni kweli anaua wanachi wake sasa anaowajengea Rwanda ni akina nani?
In Africa you have to rule by fear, and if possible, terrorize and bamboozle both your followers and opponents in order to get the house in order and earn maximum respect. That's what PK is doing. I give him a lot of credit for a good job he has done thus far.Thinking is one thing, and what may come is quite the other. Siku zote unachopanda ndio utakachovuna. Watu hawawezi kuendelea kuwa wajinga siku zote. If you terrorize people it is very possible that they may take action, and that does not mean just fine.
Ukiondoa ujinga wake wa kupenda vita, PK ni kiongozi mzuri. Rwanda hakuna corruption wala ujinga ujinga. Go PK
Mwana_halisi gazzetaUmewahi kuona gazeti linalotoka rwanda likiongelea mapungufu ya Kagame? Kama hakuna uhuruwa vyombo vya habari ni vigumu kujua uzuri wake.
In Africa you have to rule by fear, and if possible, terrorize and bamboozle both your followers and opponents in order to get the house in order and earn maximum respect. That's what PK is doing. I give him a lot of credit for a good job he has done thus far.
ukiondoa ujinga wake wa kupenda vita, pk ni kiongozi mzuri. Rwanda hakuna corruption wala ujinga ujinga. Go pk
hamna dhabi kubwa kama kutoa uhai wa binadamu wenzako
kwa hiyo kwako iddi amin, bokasa, mobutu....ndio viongozi poa, akina khama (botswana) mapoyoyo tu au vipi?
kwa hiyo kwako iddi amin, bokasa, mobutu....ndio viongozi poa, akina khama (botswana) mapoyoyo tu au vipi?