Marekani yamtimua balozi wa Palestina

Marekani yamtimua balozi wa Palestina

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Marekani yamtimua balozi wa Palestina kutoka Washington
Baada ya serikali ya Marekani kukata misaada yake kwa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA), imemtimua balozi wa Palestina kutoka mjini Washington.
Dr. Husam Zomlot, balozi wa Palestina nchini Marekani ameieleza kanali ya televisheni ya al-Mayaadin ya Lebanon kwamba, viongozi wa Marekani wameitaka familia yake kuondoka haraka mjini Washington. Zamlot ameongeza kwamba, viongozi wa Marekani pia wamebatilisha vibali vyao vya kuishi nchi hiyo sambamba na kuwafungia akaunti zao za benki.
Tarehe 10 mwezi huu, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ilitangaza rasmi kufunga ofisi za kidiplomasia za Palestina mjini Washington. Wakati huo huo, ofisi ya uwakilishi ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO mjini Washington ambayo Trump alitoa amri mapema ya kufungwa kwake, ilisimamisha shughuli zake tarehe 13 ya mwezi huu. Hatua hizo ni sehemu ya siasa za serikali ya Trump kwa ajili ya kuwashinikiza Wapalestina waweze kukubaliana na mpango wake wa 'Muamala wa Karne' ambao hadi sasa unaendelea kufeli kutokana na msimamo wa Wapalestina.
 
All the best Mr. Ambassador but remember sometimes flexibility of mind can help bring the hope where there's a despair.
 
Marekani yamtimua balozi wa Palestina kutoka Washington
Baada ya serikali ya Marekani kukata misaada yake kwa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA), imemtimua balozi wa Palestina kutoka mjini Washington.
Dr. Husam Zomlot, balozi wa Palestina nchini Marekani ameieleza kanali ya televisheni ya al-Mayaadin ya Lebanon kwamba, viongozi wa Marekani wameitaka familia yake kuondoka haraka mjini Washington. Zamlot ameongeza kwamba, viongozi wa Marekani pia wamebatilisha vibali vyao vya kuishi nchi hiyo sambamba na kuwafungia akaunti zao za benki.
Tarehe 10 mwezi huu, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ilitangaza rasmi kufunga ofisi za kidiplomasia za Palestina mjini Washington. Wakati huo huo, ofisi ya uwakilishi ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina PLO mjini Washington ambayo Trump alitoa amri mapema ya kufungwa kwake, ilisimamisha shughuli zake tarehe 13 ya mwezi huu. Hatua hizo ni sehemu ya siasa za serikali ya Trump kwa ajili ya kuwashinikiza Wapalestina waweze kukubaliana na mpango wake wa 'Muamala wa karne' ambao hadi sasa unaendelea kufeli kutokana na msimamo wa Wapalestina.
Wapalestina huwezi kuwarudisha nyuma kwa kufukuza balozi,hivi watu ambao wapo tayari kufa ili kujikomboa,utawatisha kwa lipi? Kuna kinachotisha zaidi ya kifo?
 
Wewe mama umeoza sana usinizoee Mimi nina mke tafuta mwanaume anayekua mizoga
Naona unatafuta mume kwa nguvu na kwa style ya kipekee,siku nyingine ficha ujinga wako kwa kukaa kimya kuliko kucomment matapishi,

Hii thread ipo nje ya uwezo wako wakufikiri,nenda kachangie kwenye thd ambazo zinazohitaji hiyo mipasho.
 
Mdomo wako unanuka pyuuuuuu
 
Back
Top Bottom