Marekani yakiri kuhusu nguvu ya Iran ya ndege zake zisizo na rubani (droni)

Lete link ya habar ya juu achana na hii.... Tu Nataka hiyo ya wamerekani kukir iran ananguvu... Acha kurukaruka kama mahindi kwenye moto
Hiyo muulize muandika thread mkuu, mimi nimejibu nilichoulizwa, umechanganya mimi ni mchangiaji tuu
 
Nimeona juzi drone zao zimechukua picha aircraft la marekani likiwa limejaa midege bila ya wao kujua, yaani kumbe meli lote lile lililobeba madege kuzamishwa daika 0 siku watakayowachokoza Iran
Mkuu, one Iranian 10MT thermonuclear laden submarine drone inatosha sio kuzamisha aircraft carrier tu bali the entire carrier group shall be sent at the bottom of the SEA in terms of millseconds should US Generals be foolish enough to try Ayatolla KALI KALI's patience - retaliation will be lightening fast such that U.S Sailors,Marines,Navy Pilots, Admiral all won't even have enough time to repent their sins before joining their MAKER, honestly.
 
Taarifa ndeeefu kumbe porojo tupu hata source hamna umekaa ukajitungia
We sema huna interest za kukubali the obvious - umepewa mpaka link for clarification lakini bado hutaki kukubali hata comments za KAMANDA wa kikosi cha CENTCOM ambaye ni askali wa jeshi la Marekani. Unataka upewe ushahidi gani mpaka uridhike.
 
Back
Top Bottom