Last week US aliua Syrian Troops waliokuwa kambini, halafu US wakasema "Bahati mbaya"... Sasa kwa kuwakomesha, Putin nae Kaua hao U.N. Convoy halafu kasema "Hatuusiki"
Equation balanced and kwa hiyo Sasa hivi wako evenly.
maneno ya isaya hayana uhusiano wowote na hali ya sasa ya damaska,isaya hakuwa anatabiri bali alikuwa anaongelea hali ya vita iliyokuwepo kipindi kile,Uko sawa kabisa mkuu, lengo la Marekani ni kuidhoofisha Urusi kiuchumi, Kwa Sababu mauzo ya gesi yanaibusti Sana urusi kiuchumi Kwa hali, Urusi haitakubali maana tayari inaujua mchezo wa marekani na Vita Syria haitaisha.
Rejea neno la Mungu ktk utabiri wa nabii isaya, Ole wako Damascus maana mjini wako utakuwa magofu.
lengo la marekani ni kumuondoa Asaad madarakani na lengo la urusi Asad abaki madarakaniMpaka leo sijui sababu gani inayowafanya Wamerakani na Warusi kuendelea kuwepo Syria.
Kwani wakiondoka kuna madhala gani?
Kwani ni lazima kwa kila Taifa kufuata utawala wa kidemokrasia?
Vipi kuhusu urithi wa dunia wa mji/jiji la Damascus?
Au ndio tunavyoita kutimia kwa /kutimiliza maandiko katika vitabu vitakatifu?
Wanacho angalia ni maslahi yao tuuu.Na Kuna watu wanawapongeza Marekani.. USA amefanya dunia sio mahali salama ata kidogo.. Migogoro yake ya kutengeneza ni mingi sana
duuuh sasa kama huyu mama yuko hivi akipewa trump itakuaje?? si ndo itakua balaa zaidi???Ukifatilia mambo utakuta walio mfundisha PK mbinu hizo na William Clinton na John Blair - ni marafiki wake wa karibu mpaka leo, Bill Clinton kwa mfano alinunua nyumba huko Rwanda, kwa nini!!
Hillary Clinton akishida kinyanganyiro cha Urais nchini mwao, basi vurugu ndani ya DRC zitalipuka upya na uporaji wa mali asili utarudi pale pale. Au utamsikia mama huyo akisema Congo ni nchi kubwa mno ingawanywe kama Sudan ili Kivu iende Rwanda na kasikasini Uganda, atajaribu kupiga debe hilo kutokana na shinikizo la PK don't you underrate PK ana mbinu nyingi sana - Clintons wana mawazo ya ajabu sana, wanataka ni Syria inagawanywe - akishinda Urais Dunia itavurugika sana.
natamani yule anayejiita mtukufu aliye bora kwenye kukurupuka afanye ivyo!! tuone itatokea nini!!nenda kashambulie kambi za kijeshi za wamarekani afu utoke na msemo kuwa ilikuwa bahati mbaya uone kitakacho fuatia.
Lete verse tuzipitieUko sawa kabisa mkuu, lengo la Marekani ni kuidhoofisha Urusi kiuchumi, Kwa Sababu mauzo ya gesi yanaibusti Sana urusi kiuchumi Kwa hali, Urusi haitakubali maana tayari inaujua mchezo wa marekani na Vita Syria haitaisha.
Rejea neno la Mungu ktk utabiri wa nabii isaya, Ole wako Damascus maana mjini wako utakuwa magofu.
Lipo uchi hili, akiondoka marekani vita imeisha. Akiondoka Urusi utawala wa Assad unafika kiama.Mpaka leo sijui sababu gani inayowafanya Wamerakani na Warusi kuendelea kuwepo Syria.
Kwani wakiondoka kuna madhala gani?
Kwani ni lazima kwa kila Taifa kufuata utawala wa kidemokrasia?
Vipi kuhusu urithi wa dunia wa mji/jiji la Damascus?
Au ndio tunavyoita kutimia kwa /kutimiliza maandiko katika vitabu vitakatifu?
Ungeandika kwa Kiswahili ungekuwa sahihi zaidi. Sasa hicho Kiingereza chako ni majanga matupu. Hiyo grammar yako ni hatariMay be they done it purposeful ili vita isiishe, because i think wanafaidika sana vita iki going on
Mkuu nipe haya nipitieUko sawa kabisa mkuu, lengo la Marekani ni kuidhoofisha Urusi kiuchumi, Kwa Sababu mauzo ya gesi yanaibusti Sana urusi kiuchumi Kwa hali, Urusi haitakubali maana tayari inaujua mchezo wa marekani na Vita Syria haitaisha.
Rejea neno la Mungu ktk utabiri wa nabii isaya, Ole wako Damascus maana mjini wako utakuwa magofu.