Marekani imetangaza vikwazo vipya dhidi ya maafsaa wawili wa China kwa kile inachodai ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya waislam wa Uyghur, Xinjiang. Marekani ilishirikiana na Umoja wa Ulaya, Canada na Uingereza kwenye vikwazo ivyo.
Vikwazo ivyo viliwalenga Wang Juzheng na Chen Mingguo ambao n viongozi wakubwa wa chama cha kikomunisti cha China.
source: CGTN
Vikwazo ivyo viliwalenga Wang Juzheng na Chen Mingguo ambao n viongozi wakubwa wa chama cha kikomunisti cha China.
source: CGTN