Marekani yaituhumu Russia kuisaidia Iran kinyemela

Marekani yaituhumu Russia kuisaidia Iran kinyemela

Marekani anapopigana anataka apewe sapoti na pia adui yake asisaidiwe. Kwenye vita vya Irak aliwatuhumu Urusi kuwapa Irak miwani ya kuona usiku ila kama Urusi kawasaidia Iran sidhani kama vita kuu ya tatu itakuwepo maana Marekani kapoteza ushawishi mkubwa kwa washirika wake, wengi watakaa neutral.
 
WASHINGTON: Marekani imeshindwa kuvumilia baada kupoteza ndege E-3 AWACS Radar Plane na Refueling Tankers huko Saudi Arabia nakuelekeza tuhuma zake kwa Russia kua inaisaidia Iran kinyemela.

BREAKING; US officials warn President PUTIN: Stop Indirect Military Support to IRAN After Loss of E-3 AWACS Radar Plane and Refueling Tankers.

US officials have warned Russia against providing indirect military support to Iran amid an ongoing US-Israeli conflict with Tehran, following recent Iranian strikes that damaged or destroyed key American aircraft, including refueling tankers and an E-3 Sentry AWACS (Airborne Warning and Control System) radar plane.

View attachment 3564529
Sijawahi ona supapawa mlalamishi kama huyu.
USA is overrated,
Na marekani bila nyukilia ni hamna kitu.
Huyu ni kubwa jinga Mzee wa kupigwa na madogo TU.
Vietnam,somalia,Talabans na Sasa Iran.
Huyu kama akipigania na Urusi au China si atakimbilia nyukilia huyu?
 
Mzozo mwingine tena...
Hamna lolote ndugu,kwa Urusi atabikia kua mpole TU.
Kashindwa kumuangusha Urusi kupitia Ukraine Tena akishirikiana na nchi zaidi ya 50.
Hana jipya.
Kamwekea Urusi vikwazo vyote,kamkusanyia misukule yake yote yaani NATO na All collective west lkn Mrusi anadunda TU na bado anaweza kutoka silaha na maarifa kwa Iran inayoleta madhara kwa kubwa jinga.
 
Wakati wanaisaidia Ukraine zana za kivita hawakujua kama ni kosa?
Ajabu sana hii.
Hawa west ni wepeai sana.
Na wamezoea vita rahisi.
Hebu fikiria west wote ndani imo NATO wanamsaidia Ukraine lkn wala husikii Russia akitetereka.
Leo wao hawataki Iran isaidiwe.
Na bado marekani na Isarel wanazitaka nchi nyingine duniani ziwasaodie kupigana na Iran.
Hovyo kabisa Hawa.
 
Ilkuwa ni swala la muda tu mana hata yeye mmarekani alikuwa akimpa ramami ukraine
Kweli kabisa.
Wao wanajionaga ndio wenye haki ya Kila kitu hapa duniani.
Sasa nae Urusi ana haki ya kuwasaidia washirika wake,nae Iran ana haki ya kupokea misaada toka kwa marafiki zake.
Na bado.
 
Hii inatupa picha kwamba USA anaweza kumsaidia adui wa Urusi wazi wazi wakati WA vita, lakini Urusi hawezi kimsaidia adui wa Marekani wazi wazi wakati WA vita.
Hii inaonesha nchi zote Duniani zinaogopa vikwazo vya USA.
Hakuna kitu Cha maana ulichoandika ndugu.
Iko hivi Uriusi wala haiogopi kuisaidia Iran kwa uwazi kwa sababu ya kuogopa vikwazo,Bali Hadi Sasa Urusi inaona Iran inawamudu USA na Israel.
Ila kama muda ukifika Urusi itasaidia kwa uwazi.
Issue ya kuogopa vikwazo sio shida za Urusi maana tayari Iko kwenye vikwazo toka vita na Ukraine ianze.
Tena sio vikwazo vya kitoto ni vikwazo vizito kweli.
Kwa upande wa China,china nayo kama Urusi TU,bado muda muafaka wa kumsaidia Iran waziwazi haujafika,china haiogopi vikwazo vya Marekani maana Marekani alijaribu kumuwekea china vikwazo vya tariffs nadhani iankumbuka Nini kilitokea.

Tuje upande wa Korea kaskazini,huyu akiamua kuisaidia Iran wazi wazi Kuna vikwazo Gani watamuwekea?
Maana yeye vikwazo ni sehemu ya maisha yake.

Hizo nchi tatu Urusi, China na Korea kaskazini Marekani Hana udhibiti nazo,hizo zinzjifanyia mambo Yao kivyaovyao.
 
Marekani anapopigana anataka apewe sapoti na pia adui yake asisaidiwe. Kwenye vita vya Irak aliwatuhumu Urusi kuwapa Irak miwani ya kuona usiku ila kama Urusi kawasaidia Iran sidhani kama vita kuu ya tatu itakuwepo maana Marekani kapoteza ushawishi mkubwa kwa washirika wake, wengi watakaa neutral.
Point
 
Ajabu sana hii.
Hawa west ni wepeai sana.
Na wamezoea vita rahisi.
Hebu fikiria west wote ndani imo NATO wanamsaidia Ukraine lkn wala husikii Russia akitetereka.
Leo wao hawataki Iran isaidiwe.
Na bado marekani na Isarel wanazitaka nchi nyingine duniani ziwasaodie kupigana na Iran.
Hovyo kabisa Hawa.
Na bado wanataka tuseme wametumwa na Mungu
 
Hakuna kitu Cha maana ulichoandika ndugu.
Iko hivi Uriusi wala haiogopi kuisaidia Iran kwa uwazi kwa sababu ya kuogopa vikwazo,Bali Hadi Sasa Urusi inaona Iran inawamudu USA na Israel.
Ila kama muda ukifika Urusi itasaidia kwa uwazi.
Issue ya kuogopa vikwazo sio shida za Urusi maana tayari Iko kwenye vikwazo toka vita na Ukraine ianze.
Tena sio vikwazo vya kitoto ni vikwazo vizito kweli.
Kwa upande wa China,china nayo kama Urusi TU,bado muda muafaka wa kumsaidia Iran waziwazi haujafika,china haiogopi vikwazo vya Marekani maana Marekani alijaribu kumuwekea china vikwazo vya tariffs nadhani iankumbuka Nini kilitokea.

Tuje upande wa Korea kaskazini,huyu akiamua kuisaidia Iran wazi wazi Kuna vikwazo Gani watamuwekea?
Maana yeye vikwazo ni sehemu ya maisha yake.

Hizo nchi tatu Urusi, China na Korea kaskazini Marekani Hana udhibiti nazo,hizo zinzjifanyia mambo Yao kivyaovyao.
Vikwazo vys tariffs?
 
America kulalamika kama mke mkubwaa
Last born wa Dunia kudekaa na kutaka kuonewa huruma muda woote....
Muajemi chukua heshima yako kwa nguvu kwa hao kengee
 
Back
Top Bottom