Marekani yaisaidia Tanzania walimu wa science

kichwapanzi

Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
50
Reaction score
23
Katika kuunga mkono jitihada za kuunga mkono sera ya elimu bure nchini Tanzania Ubalozi wa Marekeni nchini umeleta walimu 51 watakaofundisha masomo ya Sayansi, Hesabu na Mazingira kwa kipindi cha miaka miwili.

Katika hafla ya kuwaapisha walimu hao jijini Dar es Salaam, Kaimu Balozi wa Marekani Virginia Blesa amesema walimu hao watakaofanya kazi katika mikoa 22 watasaidia kupunguza tatizo la walimu wa masomo ya Sayansi nchini.

Bleisa amesema kuwa wapo walimu wengi wanatamani kufundisha kwa kujitlea nchini katika nyanja mbalimbali kupitia mpango wa kusaidia elimu ulioandaliwa na marekani kwa nchi masikini duniani.
Kwa upande wao walimu hao wamesema kuwa wanategemea wanafunzi watanufaika na elimu watakayowapa na kuomba ushirikiano kwa walimu watakaowakuta katika shule walizopangiwa.
 
Jambo Jema lakn cje ndio ikawa ile neo colonialism.
Waka send fake professional in order kutufanyi exploitation kiaina
 
Katika kuunga mkono jitihada za kuunga mkono sera ya elimu bure nchini Tanzania Ubalozi wa Marekeni nchini umeleta walimu 51 watakaofundisha masomo ya Sayansi, Hesabu na Mazingira kwa kipindi cha miaka miwili.

Katika hafla ya kuwaapisha walimu hao jijini Dar es Salaam, Kaimu Balozi wa Marekani Virginia Blesa amesema walimu hao watakaofanya kazi katika mikoa 22 watasaidia kupunguza tatizo la walimu wa masomo ya Sayansi nchini.

Bleisa amesema kuwa wapo walimu wengi wanatamani kufundisha kwa kujitlea nchini katika nyanja mbalimbali kupitia mpango wa kusaidia elimu ulioandaliwa na marekani kwa nchi masikini duniani.
Kwa upande wao walimu hao wamesema kuwa wanategemea wanafunzi watanufaika na elimu watakayowapa na kuomba ushirikiano kwa walimu watakaowakuta katika shule walizopangiwa.
Mmmh...ili sio jipya ni kila mwaka linafanyika..kuna peace corp,Jica na mashirka mengne kbao wanaleta waalimu kila mwaka tangua mm naaza kusima sec adi leo...sio ishu ya elimu bure-uongo
 
Embu wawe serious kidogo, walimu 51 watasaidia vp kwa mikoa 22 ukipiga hesabu ya haraka 22*2=44 na kubaki waalim 7 kwa maana hiyo kila mkoa utakua na waalim 2, kwel itasaidia kupunguza tatizo la waalimu wa sayansi? na isitoshe hao waalimu wawil wanakaa kwa mda wa miaka miwili. Tujiulize ni waalimu wangapi wa sayansi ambao wamemaliza hawajaajiriwa hadi leo , achana na hawa waliomaliza mwaka huu . Kama kwel wana nia ya dhati serikali yenyewe ya Tz iangalie hawa waalim waliomaliza vyuo ili wawapatie ajira. Na pia hata waalim wa arts kuna maeneo bado wanahitajika saana sio kwamba hawahitajiki . Embu serikali iliangalie hili kwa jicho la tatu.
 
Isije ikawa wamekuja kwa kazi maalum maana wakubwa hawa bwana.
Anyway lets hope for the best
 
walimu 52 tuu? Mbona waliomaliza ualimu wa sayansi mwaka huu ni wengi sana,wafungulie tu ajira
 
Ni jambo zuri kupata uzoefu. Ningeshauri walimu hawa wangepelekwa kwenye vyuo vinavyofundisha kozi za science ili kuwapa walimu wetu watarajiwa mafunzo ya science ili watakapoondoka baada ya miaka miwili watazalisha waalimu wengi wazoefu na kusambaa nchi nzima. Wanafunzi wengi watafaidika hata baada ya walimu hawa kurudi kwao marekani.
 
Kwa hiyo unataka mwanachuo anayesoma digrii akafundishwe na mwalimu wa digrii? Hapo ni kuharibu elimu yetu acha waende huko huko sekondari na shule za msingi. Utakuta kwao walikuwa walimu wa chekechea na mshahara kidogo hapa watalipwa mlns.
 
Katika kuunga mkono jitihada za kuunga mkono sera ya elimu bure nchini Tanzania Ubalozi wa Marekeni nchini umeleta walimu 51 watakaofundisha masomo ya Sayansi, Hesabu na Mazingira kwa kipindi cha miaka miwili.

Katika hafla ya kuwaapisha walimu hao jijini Dar es Salaam, Kaimu Balozi wa Marekani Virginia Blesa amesema walimu hao watakaofanya kazi katika mikoa 22 watasaidia kupunguza tatizo la walimu wa masomo ya Sayansi nchini.

Bleisa amesema kuwa wapo walimu wengi wanatamani kufundisha kwa kujitlea nchini katika nyanja mbalimbali kupitia mpango wa kusaidia elimu ulioandaliwa na marekani kwa nchi masikini duniani.
Kwa upande wao walimu hao wamesema kuwa wanategemea wanafunzi watanufaika na elimu watakayowapa na kuomba ushirikiano kwa walimu watakaowakuta katika shule walizopangiwa.
Tunarudi nyuma ya wakati wa uhuru. Kitendo cha kusaidiwa waalim ni aibu jamani
 
Ni jambo zuri kupata uzoefu. Ningeshauri walimu hawa wangepelekwa kwenye vyuo vinavyofundisha kozi za science ili kuwapa walimu wetu watarajiwa mafunzo ya science ili watakapoondoka baada ya miaka miwili watazalisha waalimu wengi wazoefu na kusambaa nchi nzima. Wanafunzi wengi watafaidika hata baada ya walimu hawa kurudi kwao marekani.
Hatuna haja na waalimu wa kugundisha waalimu wa sayansi wala hii haimaaanishi kwamba walimu wetu hawana knowledge ya kutosha mpka wao waje wafanye diffusion labda ungenambia wamekuja maengineer watakao simamia project kadhaaa kushirikiana na maengineer wa tz then project zikiisha contract zishikwe na wabongo ningekuelewa Hata hivyo serikali haioneshi nia dhabiti ya uhitaji huo wa kiasi hicho cha walimu wa sayansi kwani mpka sasa kunavizazi viwili vipo mtaaa na vinawalimu wa sayansi wa kutosha wanakula vumbi kwann wasitoe ajira HIII NI SIASA THIS IS TOOOOOO MUCH
 
Kukurupuka, Ushamba na kukosa taarifa, hawa walimu wa aina hii huja kila mwaka moja. Mbili na bichwa lako looote unaona walimu 52 wanaweza kumaliza tatizo la walimu wa sayansi kwenye shule zaidi ya 1000? Una kurupuka na kuanziasha hoja nyambafu get well informed
 
Hatuna haja na waalimu wa kugundisha waalimu wa sayansi wala hii haimaaanishi kwamba walimu wetu hawana knowledge ya kutosha mpka wao waje wafanye diffusion labda ungenambia wamekuja maengineer watakao simamia project kadhaaa kushirikiana na maengineer wa tz then project zikiisha contract zishikwe na wabongo ningekuelewa Hata hivyo serikali haioneshi nia dhabiti ya uhitaji huo wa kiasi hicho cha walimu wa sayansi kwani mpka sasa kunavizazi viwili vipo mtaaa na vinawalimu wa sayansi wa kutosha wanakula vumbi kwann wasitoe ajira HIII NI SIASA THIS IS TOOOOOO MUCH
Sawa mkuu. Ni vyema kufaidika na program muhimu kama hizi kuongeza taaluma na mafunzo katika mfumo wa elimu yetu kwa kupata uzoefu kutoka kwa wakufunzi hawa, tusiwaache hivi hivi tuwatumie kwa faida ya watoto wetu baadae. Haya mambo ya viongozi wa siasa wanakwenda wakamaliza muda wao wakastaafu lkn kwa watoto muda bado wanao mwingi kuja kuijenga Tanzania ya baadae.
 
Vibari vya ajira vimesitishwa mpk mtakapotangaziwa sasa nani katoa vibali hivyo
 
Back
Top Bottom