Marekani yaisaidia Tanzania walimu wa science

Marekani yaisaidia Tanzania walimu wa science

Nawapongeza wale wazbar waliowamwagia tindikaki,walimu wa 2015,2016 wapo kitaa wanaangaika na wamerekani,zen wakija wawalipe milion zen c tuliowazawa tupewa lk5,hii nchi ni ya kipuuzi kweli,bsi iwatafutie channel wale wenye degree za kisw nao wakafundishe huko kwenye huhitaji like Somalia,rwanda,china na nchi zenye huhitaji wa kujifunza kiswahili
 
1474825070181.png
[/IMG][/IMG]
 
Ni jambo zuri kupata uzoefu. Ningeshauri walimu hawa wangepelekwa kwenye vyuo vinavyofundisha kozi za science ili kuwapa walimu wetu watarajiwa mafunzo ya science ili watakapoondoka baada ya miaka miwili watazalisha waalimu wengi wazoefu na kusambaa nchi nzima. Wanafunzi wengi watafaidika hata baada ya walimu hawa kurudi kwao marekani.
Kuna tofauti kati ya walimu(shuleni) na wakufunzi(vyuoni) we umeambiwa wameletwa walimu kufundisha mashuleni maana yake ni kwamba hawana sifa ya kuwafundisha walimu tarajali vyuoni au kwa vile ni wamarekani ndo maana umeona wakafundishe vyuoni?
 
Kuna tofauti kati ya walimu(shuleni) na wakufunzi(vyuoni) we umeambiwa wameletwa walimu kufundisha mashuleni maana yake ni kwamba hawana sifa ya kuwafundisha walimu tarajali vyuoni au kwa vile ni wamarekani ndo maana umeona wakafundishe vyuoni?
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Mi nli bahatika kufundishw phys o level na moja ya hawa maticha aisee wana kua shalo kupita maelezo so cwa amin kabisa
 
Hawa waalimu wazungu wakija kwanza wafahamishwe utaratibu, kipindi tuko form three tulipata mwalimu kutoka london, alikua anatusomesha english. Alikua akitunga mtihani tunagonga 90 na mtu wa mwisho anagonga 60. Kila kitu ilikua very easy kwake, tukaona hapa huenda hali ikawa ngumu, tukaamua tumpelekew pepa ya necta, kwanza alituuliza huu kweli ndio mtihani wenu?
Kwa iyo hawa walimu waelezwe kabla ya kuanza kufundisha system ya mitihani ya tanzania
 
maaabara wap sasa au wanakuja nazo ok ngoja tuone muwalete n.a. huku kwetu mwanakwerekwe
 
speaking from experience:
nliwah fundshwa physics nkiwa F.5 na tcha mmarekan, duuuu asante Mungu aliondoka kabla ya kuingia F6, akaja part time tcha ikabd tuanze upya mana we were empty
pepa zake unapga 100, lakn hz zngne huchomk
nadhan tuna mifumo tofauti toka ya ufundshwaj hadi mitihan
anyway physics ilionekana kama simple alpokuwepo na kwa pepa zake, alpoondoka loh!!! a real world of physics was at the door
 
Embu wawe serious kidogo, walimu 51 watasaidia vp kwa mikoa 22 ukipiga hesabu ya haraka 22*2=44 na kubaki waalim 7 kwa maana hiyo kila mkoa utakua na waalim 2, kwel itasaidia kupunguza tatizo la waalimu wa sayansi? na isitoshe hao waalimu wawil wanakaa kwa mda wa miaka miwili. Tujiulize ni waalimu wangapi wa sayansi ambao wamemaliza hawajaajiriwa hadi leo , achana na hawa waliomaliza mwaka huu . Kama kwel wana nia ya dhati serikali yenyewe ya Tz iangalie hawa waalim waliomaliza vyuo ili wawapatie ajira. Na pia hata waalim wa arts kuna maeneo bado wanahitajika saana sio kwamba hawahitajiki . Embu serikali iliangalie hili kwa jicho la tatu.
Hakuna watakachosaidia ni sawa na kupeleka polisi wawili kila mkoa halafu unasema umepunguza ujambazi.

Wangewagawanya kwenye vyuo vya masomo ya sayansi wakawafundishe waalimu wetu.
 
Tunashukuru sana tu. Miaka ya 1962/79 walikuwepo wengi sana wakifundisha
 
Back
Top Bottom