GreatSeal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,785
- 3,095
Utawala wa Trump umerejesha vikwazo vyote vya Marekani vilivyokuwa vimeondolewa chini ya mkataba wa nuklia uliyofikiwa mwaka 2015.
Ikulu ya Marekani imesema "hivi ni vikwazo vigumu kuwahi kuwekwa na utawala huu" dhidi ya Tehran. Inalenga Iran na mataifa yanayofanya biashara na Iran
Hata hivyo, mataifa manane yamepewa muda mfupi kuendelea kuingiza mafuta kutoka Iran
Mataifa ya bara ulaya yanayounga mkono mkataba huo wa nuklia yamesema yatalinda kapuni za ulaya zinzaofanya biashara ''halali"na Iran.
Rais DonaldTrump alijiondoa kutoka kwa mkataba wa wa nuklia wa Iran mwezi Mei, na kutaja makubaliano hayo ya kupunguza shughuli za kinyukila za Iran uliofakiwa mwaka 2015 kama mbaya zaidi kuwahi kuafikiwa.
Siku ya Ijumaa Trump aliandika katika mtando wake wa Twitter akisema "Vikwazo vinakuja,"
Marekani imekuwa ikiregesha pole pole vikwazo dhidi ya Iran, lakini hatua hii ya sasa ni muhimu kwa sababu inalenga sekta kuu ya uchumi wa Iran.
Makubaliano ya awali yaliifanya Iran kupunguza shughuli zake tata za nuklia ili vikwazo dhidi yake vilegezwe.
Barack Obama, rais wa Marekani wakati huo, alihoji makubaliano hayo yalilenga kuzuia Iran kusitisha uundaji wa silaha za nuklia.
Uingereza, Ufaransa, Ujerumani Urusi na Uchina pia ziliunga mkono mkataba huo wa nyuklia wa Iran na kuendelea kuudumisha.
=========
My take:
Hayawi hayawi sasa yamefika, leo ni tarehe 3/11/2018 tarehe ambao kiranja wa dunia alisema Nov 4 its a show time, tukasikia hadithi nyiingi sana hapa, wengine wakasema wanaungana kukwepa petrodollar, wengine wakasema wanaanzisha mifumo yao ya kibenk, wengine wakasema makampuni yao yataendelea na biashara kama kawaida, na mengine meeengi mengi mengi, ila yoote ni yoote hapa ndio tutajua mwenye sauti ni nani na anaesimimamia kauli zake ninano na anaesimama kama chura wakat ngombe anakunywa maji ninani, na mwenye ubavu ni nani hapa ndio tujajua yoote kwa sasa