Iran bado ni kitisho Mashariki ya Kati! Kunahitajika kuifanya kama Iraq wakati wa utawala wa Saddam.
Sasa hivi Iran ni moja ya nchi zenye teknolojia ya juu katika kutengeneza silaha.
Kuna uwezekano mkubwa kwa hii vita kusambaa zaidi katika maeneo ya mashariki ya kati, dalili zinaonyesha ndani ya wiki kadhaa Israel huenda ikaanza kushambulia mpaka mataifa rafiki ya Palestina yanayohisiwa kufadhili kikundi cha Hamas na Hezbulah