vitoto kwao viliishi kwa Amani tatizo ni huyu mhuni wa zamani akiona hesabu zake zimekaa vibaya anatafuta mnyonge wa kumuibia kwa kisingizio cha democracy
Iran kwa nini wanatafuta kutengeneza bomu la nyuklia wakati walisaini mkataba wa (Nuclear Non-Proliferation Treaty) unaokataza nchi yoyote kuwa ya kumi kutengeneza silaha hizo.