Marekani wanaiogopa Iran?

Marekani wanaiogopa Iran?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
Naona kila nikiisoma habari hii sipati kuelewa inasema Marekani wanailipa pesa Iran mabilioni ya dollar ili tu kuwaachia wafungwa wa kimarekani walioshikiliwa huko

Ni kama Marekani wamekubali kulipa 'ransom' kwa Iran hadi baadhi ya Republicans wanakasirika...

Why kama Marekani ubabe wake umeshindwa hapa?

Soma hii

US sent $1.3 billion more in cash to Iran to settle arms dispute: WSJ
 
Whitehouse inadai hzo pesa ni kat ya zile frozen funds za iran so walikua wameanza kuwarudishia....kuna utata wa ukweli hapa ingawa pia kusema zilitolewa km ransom pia ni ngum maana ni pesa nyng mno hiz
 
Whitehouse inadai hzo pesa ni kat ya zile frozen funds za iran so walikua wameanza kuwarudishia....kuna utata wa ukweli hapa ingawa pia kusema zilitolewa km ransom pia ni ngum maana ni pesa nyng mno hiz

Kama ni frozen funds basi inawezekana
maana hili la 'ransom' nilikuwa sielewi elewi
 
Mkuu hawawezi tumia nguvu kwani hawa watu walitumwa kwenda kufanya kazi maarumu na sasa wanarudi nyumbani !!
Marekani uwa anachokifanya ni upelelezi wa kijasusi kupitia kwa wafungwa wake!!
Hizo pesa wanaamini zitarudi baada ya kukamilika kwa mpango huo
 
Subiria yule kichaa achaguliwe ndo utajua marekani wanaiogopa iran au la
 
How elezea zaidi...
Yote hayo kwa kuwa washaliangusha soko la mafuta Duniani na zaidi kuwa washamfungulia vikwazo Iran !! hivyo kibano walicho nacho na upungufu uliyokuwepo huko Iran hawana budi kuanza kuna uhusiano wa kibiashara upya na US!!!
 
Hii story goes back in 1979 wakati wa Iranian Revolution, wenyewe wanasema ni refund for US weapons ambayo Iran walipurchased but the American never delivered.
 
Hii story goes back in 1979 wakati wa Iranian Revolution, wenyewe wanasema ni refund for US weapons ambayo Iran walipurchased but the American never delivered.

Mnhhh inawezekana?
Iran unaamini angeweza kununua silaha kwa Marekani?
 
Lakini so far Iran ni kama 'wame win'
Kwa nchi za kimagharibi.. wana tactics ya kukupa ushindi feki/sifa/temporary ila baadae unaingingia mkenge wao au kichwa kichwa !!
waliwahi kusema na kumwambia marehm Saddam Hussein kuwa jeshi la ni la nne hapa duniani !! nae akakubali hatimaye iraq is gone !!
Hivyohivo Arab spring wakambia mujifunze Demokrasia...
Hivyohivo Venezuela !!
nk nk
 
Mnhhh inawezekana?
Iran unaamini angeweza kununua silaha kwa Marekani?
Siamini hivyo ila pia inaleta maswali kwakuwa Obama alifanya siri ku-deliver hizo of $400 million in cash and it was the same day Iran released four American prisoners. Obama yeye alipoulizwa alisema ni first installment ya dollar 1.7billion kwa ajili ya ku-compansate ile failed arms deal kipindi hicho cha hayo mapinduzi
 
Mnhhh inawezekana?
Iran unaamini angeweza kununua silaha kwa Marekani?
Inawezekana sana tu, kabla ya Iranian Revolution Shah of Iran alikuwa ni rafiki mzuri sana wa America na silaha zote alinunua huko. Baada ya mapinduzi Iran ikawekewa embargo pamoja na PACIFIC BLOCKADE. Hii ndiyo chanzo cha Iraq- Iran War ambapo Raegan alimpa SCUD Missile na Strategic weapons nyingi Sadam ili awatwange Iran bali Sadam naye akawageuka.

Kinachoendelea Iran ni suala zima la Big power politics. Inasemekana Iran akifanikiwa kutengeneza Nuclear Grade Weapons basi kuna likelihood ya nchi nyingi pamoja na makundi kama Hezbollah yanaweza kuwa radicalized zaidi ya hapa.
Hii ni hatari kwa Usalama wa Israel na Saudi Arabia.

Ikumbukwe Iran ni mdau mkubwa sana wa kibiashara wa Urusi na Uchina. China anategemea mafuta ya Iran, sasa kwa kipindi hiki ubabe hauwezi kufanya kazi kwasababu kutakuwa na Nuclear Proliferation ambayo ni Unprecedented. For now the world doesn't need a new North Korea.

Urusi na Marekani wamesaini mikataba Mingi sana ya kuzuiana wao kwa wao wasisambaze silaha za Kinyuklia kwa mataifa wadau wao. Endapo ubabe ukitumika na Marekani asijali Maslahi ya Uchina na Urusi unadhani ni nini kitawazuia Warusi kuwasaidia Iranians kuzalisha Nuclear Grade Weapons?
Hili hata Henry kissinger , Brehzinsk , Ash Carter, Clinton na wengine wengi wanalijua.

Kama una kumbukumbu nzuri Republicans wao wenyewe walishawahi kutumia mkakati kama huu mwaka 1972. Nixon baada ya kuona Uchina inakuwa na nguvu na inatengeneza silaha za Kinyuklia na inatishia sana mataifa rafiki wa Marekani kama South Korea, Japan, Philippines na India. Akaamua kwenda kuwafuata huko huko kwao akisingizia anaenda kutembelea THE GREAT WALL OF CHINA.

Kule Uchina Nixon aliwaahidi Wachina kwamba Sera ya Marekani ya mambo ya nije itabadilika na atamfungulia masoko ya kibiashara endapo tu Uchina itabadilisha mtazamo wake juu ya mataifa jirani. Nuclear Proliferation iliishia pale pale.

Mwaka 1972 kama una kumbukumbu nzuri Uchina Walirudishwa UN na wakapewa na VETO huku TAIWAN alifukuzwa. Hujiulizi kwanini Marekani aliamua kuwa mpole???

Mwisho kabisa hivi hujajiuliza kwanini Ronald Raegan na ubabe wake wote hakuwahi vamia CUBA ambao ni majirani zake kabisa???

Au unadhani European Refugee crisis imetokea tu out of thin Air?? Vita nyingine ikitokea middle east unadhani Ulaya itakaa salama ndugu yangu??
Hivi unadhani Wazungu watamsapoti Marekani kwenye vita ambayo moja kwa moja itahatarisha Usalama na uchumi wao kama ilivyo sasa????


Now the answers are simple..
1) Big power politics
2) Threat of Nuclear Proliferation
3) Escalation of World terrorism
4) European Security Concerns

"EVALUATE YOUR BATTLES CAREFULLY SOMETIMES PEACE IS MORE IMPORTANT THAN BEING RIGHT"

Marekani ni taifa kubwa sana na maamuzi yake yanaathiri dunia nzima.
Hebu tusipende kufurahia vita sana nimekaa hapo Sudan Kusini sijapenda kabisa mazingira ya vita hata kidogo.
Nakushauri usipende kushabikia machafuko.
 
Donald hapewi nchi hata akishinda
establishment inachagua mtu kabla na wanahakikisha anakuwa Rais
leo magazeti ya Dallas ambako ni Republican strong holds...yamemu endorse Hilary
Ilo liko wazi kushinda atashinda lakini kutangazwa sasa
 
Back
Top Bottom