Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,273

Itakumbukwa kwamba Putin alisema hii ni silaha ambayo haipo katika taifa lolote isipokuwa Russia, nadhan sasa yametimia​

Al Jazeera English

The United States Air Force says it has conducted a successful test of a hypersonic weapon, which flew at five times the speed of sound.

The test was conducted on Saturday off the coast of Southern California when a B-52 bomber released an Air-launched Rapid Response Weapon (ARRW), the Air Force said in a statement on Monday.

1.jpg
 
Hii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
 
Kwamba Mungu kaumba taifa lenye kuuwa watu kwa kutumia atomic bomu, kwamba Mungu kaumba taifa ambalo lina damu za innocent people wengi duniani?? Kwamba Mungu kaumba taifa amablo linatetea ushoga, Mungu gani huyo?? Acheni kutetea upuuzi muda mwengine
 
Ushoga ndio unaona dhambi tuu,unavyozin na mademu ,huon dhambi,umewatia watoto wa watu mimba wakazitoa huon dhambi,ila ushoga ndio unaona dhambi ,unakoishi kwenyewe mashoga wamejaa,Fanya kampen basi tujue wewe mwanaharakati jasir
 
Itakumbukwa kwamba Putin alisema hii ni silaha ambayo haipo katika taifa lolote isipokuwa Russia, nadhan sasa yametimia​

Al Jazeera English

The United States Air Force says it has conducted a successful test of a hypersonic weapon, which flew at five times the speed of sound.

The test was conducted on Saturday off the coast of Southern California when a B-52 bomber released an Air-launched Rapid Response Weapon (ARRW), the Air Force said in a statement on Monday.

US says it conducted a successful hypersonic weapon test View attachment 2228170
yoooote hiyo kwaajili ya kuuwa binaadam tu siyo wanyama
 
Acha uongo wewe bangi ,hakuna silaha yoyote inazid spid ya mwanga ,hi mi pro.Russia ya manzese bwana ukishabwia madude ndio unatupia comment na smart phone za wizi
Nilimaanisha speed za hypersonic za kirusi zinasafiri mara 5 Mpaka 25 zaidi ya speed ya sound.alafu wewe ndo mjinga Kwa sababu watu wanahangaika sasa hivi kutengeneza silaha za Aina hizo kama wew huna akili wengine wanazo na wanaumiza akili zao kutengeneza hizo hasahasa Warusi.
 
Una matatizo wewe nikuache tuu
 
Ushoga ndio unaona dhambi tuu,unavyozin na mademu ,huon dhambi,umewatia watoto wa watu mimba wakazitoa huon dhambi,ila ushoga ndio unaona dhambi ,unakoishi kwenyewe mashoga wamejaa,Fanya kampen basi tujue wewe mwanaharakati jasir
Halafu anavyoongea utadhani hao anaowashabikia hakuna mashoga. Russia imeruhusu ushoga hadi age 14 wanaweza kupakuana kama kawaida.
 
Hii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
Mpango wa Mungu yupi taifa linasapoti mashoga!!
 
Hii ni mbinu za kumchosha adui...
Kwa mtazamo wangu mdogo naona hili taifa la USA ni mipango ya MUNGU mwenyewe ili dunia iwe na Amani,hawa jamaa sijaona taifa lolote duniani ambalo linaweza kuwa juu Yao wala haitatokea hata kama tutawachukia au kuwakubali bado wataendelea kuwa juu tu
Kabisa
 
Usa ndio dola lenye nguvu kuliko yote duniani na biblia ilishatabiri nenda kaso
 
Back
Top Bottom