The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,332
- 3,230
Tuwekee hayo maombi na kukubaliwa kwake tafadhali.CHINA YAKUBALI KUISAIDIA MAREKANI KUPAMBANA NA CORONA
China imekubali kutoa msaada kwa Marekani ambayo imethibishwa kuwa na maambukizi mengi zaidi ya virusi vya corona kuliko nchi nyingine duniani, ikiwa na zaidi ya wagonjwa 85, 500 kwa mujibu wa chuo kikuu cha Johns Hopkins, Marekan
Source: Azam news
Basi we jamaa unajikuta kubwa la ma secretary wa white house.. Mwandiko wa Trump unautambua kwa vitu gani?
Uadui wa Marekani na China sio serious kivile. Hawa jamaa wanategemeana sana hasa kwenye mambo ya biashara.
Adui mkubwa wa Marekani ni Iran. China na Marekani kinachowasumbua ni wivu tu wa kiuchumi.
Daaaahhhh!!! Kama namuona Trump alivyo nuna..ukisikia adui yako muombee njaa ndo hii.
Unafahamu Twitter Account ya Trump? Go google it and confirm for yourselfNna mashaka na hii tweet mwandiko wa Trump haupo hivyo