Marekani, Uingereza zinatarijia kutoa taarifa kuhusu kufanya operation kubwa Yemen dhidi Houthi

Kwa hiyo unafurahia vurugu za houthi
Kwa hiyo ww unafurahia mauaji yanayo fanywa na Israel?
Maana wahuthi madai yao ni wanazizuia meli za Israel mpaka pale Israel itakapo ondoa mzingiro na kuacha mauaji ya watu wa gaza madai ambayo yana mantiki kwa mtu yeyote mwenye akili na ndio maana mataifa mengi yamegoma kujiunga na muungano huo kwasababu madai wahuthi yana msingi.
 
Hayo mashambulizi watakuwa wanatokea wapi maana wakitumia kutokea kwenye meli zinazamishwa hzo meli kwa makombora fasta tu
Hata kule Gaza mlilishana ujinga huu huu. Baada kukung'utwa mkàanza kulia kulia.

Sasa ngoja wakianza ndo uulize maswali yako ya kiarabu Koko
 
Tuliambiwa na wachambuzi wa kitanzania israel ground battle hawewezi ndo maana wanaogopa
 
hivi tunavyoongea Iran amepeleka meli yake ya vita red sea karibu na Yemen.
Iran inapeleka meli yake popote pale inapoona panafaa na nchi husika imeridhia nahakuna wakuifanya kitu yaani
Iran kuna watu wanaiona yakawaida sana ila iran sio yakawaida
Yaani kwa jeuri kiburi na ubabe wa marekani na shoga zake ingekua iran yakawaida aah ingekua ishabiduliwa chini juu
Hem acha tuone
 
Nyie ndio hamko Informed, Houthis wako madarakani kwa sababu wapinzani wao walikuwa wako weak on the ground and demoralised, pia hawakupigwa vilivyo.

Yemen hadi sasa imegawanyika vipande viwili, huwa mnavoisema Yemen utazani mnazungumzia nchi ya maana
Ulitaka wapigwe vipi ndio iwe wamepigwa vilivyo
Wamepigwa zaidi ya miaka saba na mataifa zaidi ya matano ikiwemo marekani uingereza pamoja na mwanawao israhell
Ulitaka wapigwe vipi?
 
Tuliambiwa na wachambuzi wa kitanzania israel ground battle hawewezi ndo maana wanaogopa
Kwani wanaweza miezi mitatu sasa wanapigana na wilaya yao moja na hawajafika popote
Leo wametangaza kuziondoa brigedi tano kisa kipigo kipo heavy
Israhell walikua over-rated sana ila kumbe wakawaida mno
 
Iran inapeleka meli yake popote pale inapoona panafaa na nchi husika imeridhia nahakuna wakuifanya kitu yaani
Iran kuna watu wanaiona yakawaida sana ila iran sio yakawaida
Yaani kwa jeuri kiburi na ubabe wa marekani na shoga zake ingekua iran yakawaida aah ingekua ishabiduliwa chini juu
Hem acha tuone
jeuri na kiburi cha iran hakipo kwenye silaha au uwezo wa kupigana, kipo kwenye uchumi wa mafuta na gas. wakichokozwa kidogo watasitisha kuzalisha mafuta na gas na dunia itaparaganyika ndani ya muda mfupi sana. ila kwa suala la silaha, haiwezi hata siku moja kupigana na USA, UK, ISRAEL kwa pamoja, itachakazwa haitaamini macho yake. na ndicho kinachoenda kufanyika. amepeleka meli ya kivita ndogo tu moja, wala sio makubwa kama yale ya marekani, uingereza na ufaransa ambayo yapo mediterenean sea, na meli kama ile amepeleka Israel wanazo nyingi tu na zingine wameunda kwa kushirikiana na India,na india pia kasogeza meli yake waliyotengeneza pamoja na israel maeneo ya karibu. ni kameli kamoja tu na wanapeleka alau ili kuonyesha ulimwengu kwamba wana jeuri lakini kiukweli tusingependa kitokee kilichotokea iraq, nchi iliyokuwa imara na kubwa sasaivi imebaki kutawaliwa na vibaka tu baada ya kusambaratishwa. iran akipigwa tegemeo lake kuu ni mafuta yake, huthi, hezbollah na hamas, labda kwa mbali na urusi. china alishasema hawezi kushiriki hizo vita zao. russia anachechemea kwasababu mwaka huu utakuwa mbaya sana kutokea ukrain,na uchumi wake umevurugwa mno kwasababu ya vita huku maelfu ya wanajeshi wake wakiuawa. mataifa yote ya kisunni hayatamsaidia iran kwenye vita.
 
Israhell ipi mzee hii inayopelekeshwa na hamas mpaka leo imeondoa vikosi vyake vitano ukanda wa ghaza ama unasema israhell ipi
Na hio Russia unayosema inachechemea ni Russia ipi hii hii ilofanya misaada ya wamagharibi kwenda ukraine ikwame ama kuna russia nyengine
Kwenye vita kuna mbinu nyingi marekani alitumia vikwazo kwanza kabla ya kuitwanga iraq kabla ya kuitwanga libya halaf ndio akaingia kuitwanga kwahio alitumia vikwazo kama sialaha
Pia alitumia atomic bomb kule japan baada ya kuona mambo yashakua magumu sana
Kwahio iran nae kama mnahisi mafuta ndio yanamfanya atie kiburi basi safi kila mtu anaringia anachoweza maana hata wao wama muungano wao ambao ndio wanauringia sana
Alokwambia wingi wa masilaha ndio unaamua mapigano nani kama hvyo israhell angekua kaishamaliza vita yake pale ghaza maana katumia masilaha kibao na badonana masilaha tele ila mpaka leo ngoma bado ngumu
Tukirudi kwa iraq ulitegemea jipya gani kwa iraq ambae 90% ya silaha zake alikua ananunua kwa hao hao waliomgeula maana iraq na west walikua mashoga sana kabla hawajageukana
Meli moja ya iran unayoidharau inawatetemesha hiko kikundi chote hapo kilojazana
Yaani uingereza nayo yakuipigia hesabu kweli
Hakuna taifa litakalo thubutu kuipiga iran hakuna
 
Hapa mkuu una poteza tu mda kumjibu mtu asie na kichwa. Hawa ma zombie wa US ni weupe sana
 
Utamu kwahiyo pale gaza kichapo kimeisha mda huuu...Au ndio unatufariji 🤣🤣😂😂😂 huku kichapo kinaendelea bwana utamu mwenye utamu wake🤣🤣🤣
 
YEMEN inaserikali inayotambuliwa na Wamagharibi, Sasa hapo wakiipiga vipi Serikali halali nayo watavumilia kuona raia wao wanapigwa?.
Kwanini Yemen wanawalea Houth? Kama Houth wanajitambulisha kama kikundi kisichotambulika na serikali na serikali wameshindwa kuwathibidi itawalazimu kuomba msaada kwa majirani pamoja na nchi rafiki ili wawezi kuwathibidi Houthi
 
Walijaribu Kwa muda wa miaka 9 lkn walishindwa.
 
hata HUth ni kampuni ya Iran, Iran nia yake ya kuifuta Israel aliamua kuweka Gaza hamas, Lebanon Hezbollah na Yemen akaweka hurthi ili wamsumbue israel asije kuishi kwa amani kabisa. iran kawapa hao hurthi silaha nyingi tu, sema kinachotafutwa hapa kama uingereza wataingia vitani wakishirikiana na marekani, jua kuke kaskazini Israel naye atakuwa anachokoza ili Iran ajichanganye wamalize kabisa axis of evil. wayahudi wanasema hamas, wala hezbollah sio adui halisi, adui halisi ambaye wanaamini hawataishi kwa amani kama hataondoka ni Iran. huyo ndiye anatafutwa, na yeye anajua hilo. sema anajichetua akili kujifanya anao uwezo kuwakabili, ila kuna siku atalia tu. kwasababu hata ukifuta hamas na hezbollah kama iran bado ipo, hujafanya kitu, wao wana bajeti kabisa kila mwaka kwa ajili ya kutengeneza waasi watakaomsumbua mzayuni. dawa ni kuwasambaratisha wawe na serikali bubu kama iraq, afu tuishi kwa amani.
Bajeti ya Iran kufadhili magaidi ni kiasi gani kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom