Marekani nayo yatoa tahadhari kwa raia wake kuhusu maandamano ya tarehe 26/4/2018

Uwe unaona aibu kwa upuuzi wako wa kuposti huu UJINGA huku moja kwa moja UNAONYESHA KUFURAHISHWA NA HUU UJINGA WENU...sioni sababu ya HIZI BALOZI kutoa alert as if haya maandamano ni VITA inayotarajiwa kufanyika....Unless otherwise nao wanahusika kwenye huu UPUUZI na wanajua nini kimepangwa kufanyika kwenye hayo maandamano....na hiki wanachokifanya ni KUHAMASISHA MAANDAMANO.....
UKWELI NI KWAMBA HAWA WAZUNGU hajafurahishwa na JINSI MAGUFULI anavyo simamia RASILIMALI ZETU....na hii inajidhihirisha kwa sapoti wanaitoa kwa CHADEMA kuhakikisha nchi hii haitawaliki....MFANO MDOGO TU ni hawa WAZUNGU LEO HII NDIO WANAO MTIBU TUNDU LISSU kupitias UBALOZI WA UJERUMANI.....na ni hawa hawa ndio wanao mpa kibuli MANGE KIMAMBI maana she has alot of CONFIDENCE mpaka mtu unajiuliza HUYU MWANAMKE anapata wapi huu UJASIRI???kumbe ni hawa wazungu wanainjia hili kupitia MANGE NA KINA MBOWE....na ndio maana juzi juzi walienda UMOJA WA ULAYA KUFANYYIA KIKAO KWENYE UKUMBI WAO.....Niseme tu ukweli kwenye haya maandamano mtaoingia barabarani nyie ni wachache sana kuliko sisi tuliomchagua MAGUFULI....tutasimama nae pamoja kwa lolote lile......na hata kae INGIA barabarani KIPIGO CHAKE NAOMBA KIWE CHA UKWELI IPASAVYO......hatuwezi kukubali NYIE MTUMIKE KUTUCHAFULIA NCHI YETU KIZEMBE NAMNA HII....
MWENYEZI MUNGU YUPO UPANDE WA MAGUFULI kamwe hawezi ruhusu HILI JIANAMKE CHAFU kama MANGE liangamize watu wasio kuwa na hatia kabsa.....HILI LINGEWEZEKANA KWA MWANAMKE MWENYE KINYWA CHA HESHIMA ILA SI HUYU SHETANI.....

Lisu kutibiwa ni shida tena??‍♂️‍♂️
 
Uwe unaona aibu kwa upuuzi wako wa kuposti huu UJINGA huku moja kwa moja UNAONYESHA KUFURAHISHWA NA HUU UJINGA WENU...sioni sababu ya HIZI BALOZI kutoa alert as if haya maandamano ni VITA inayotarajiwa kufanyika....Unless otherwise nao wanahusika kwenye huu UPUUZI na wanajua nini kimepangwa kufanyika kwenye hayo maandamano....na hiki wanachokifanya ni KUHAMAMAANDAMANO.....
UKWELI NI KWAMBA HAWA WAZUNGU hajafurahishwa na JINSI MAGUFULI anavyo simamia RASILIMALI ZETU....na hii inajidhihirisha kwa sapoti wanaitoa kwa CHADEMA kuhakikisha nchi hii haitawaliki....MFANO MDOGO TU ni hawa WAZUNGU LEO HII NDIO WANAO MTIBU TUNDU LISSU kupitias UBALOZI WA UJERUMANI.....na ni hawa hawa ndio wanao mpa kibuli MANGE KIMAMBI maana she has alot of CONFIDENCE mpaka mtu unajiuliza HUYU MWANAMKE anapata wapi huu UJASIRI???kumbe ni hawa wazungu wanainjia hili kupitia MANGE NA KINA MBOWE....na ndio maana juzi juzi walienda UMOJA WA ULAYA KUFANYYIA KIKAO KWENYE UKUMBI WAO.....Niseme tu ukweli kwenye haya maandamano mtaoingia barabarani nyie ni wachache sana kuliko sisi tuliomchagua MAGUFULI....tutasimama nae pamoja kwa lolote lile......na hata kae INGIA barabarani KIPIGO CHAKE NAOMBA KIWE CHA UKWELI IPASAVYO......hatuwezi kukubali NYIE MTUMIKE KUTUCHAFULIA NCHI YETU KIZEMBE NAMNA HII....
MWENYEZI MUNGU YUPO UPANDE WA MAGUFULI kamwe hawezi ruhusu HILI JIANAMKE CHAFU kama MANGE liangamize watu wasio

Mbona povu jingi sana?
 
Uwe unaona aibu kwa upuuzi wako wa kuposti huu UJINGA huku moja kwa moja UNAONYESHA KUFURAHISHWA NA HUU UJINGA WENU...sioni sababu ya HIZI BALOZI kutoa alert as if haya maandamano ni VITA inayotarajiwa kufanyika....Unless otherwise nao wanahusika kwenye huu UPUUZI na wanajua nini kimepangwa kufanyika kwenye hayo maandamano....na hiki wanachokifanya ni KUHAMASISHA MAANDAMANO.....
UKWELI NI KWAMBA HAWA WAZUNGU hajafurahishwa na JINSI MAGUFULI anavyo simamia RASILIMALI ZETU....na hii inajidhihirisha kwa sapoti wanaitoa kwa CHADEMA kuhakikisha nchi hii haitawaliki....MFANO MDOGO TU ni hawa WAZUNGU LEO HII NDIO WANAO MTIBU TUNDU LISSU kupitias UBALOZI WA UJERUMANI.....na ni hawa hawa ndio wanao mpa kibuli MANGE KIMAMBI maana she has alot of CONFIDENCE mpaka mtu unajiuliza HUYU MWANAMKE anapata wapi huu UJASIRI???kumbe ni hawa wazungu wanainjia hili kupitia MANGE NA KINA MBOWE....na ndio maana juzi juzi walienda UMOJA WA ULAYA KUFANYYIA KIKAO KWENYE UKUMBI WAO.....Niseme tu ukweli kwenye haya maandamano mtaoingia barabarani nyie ni wachache sana kuliko sisi tuliomchagua MAGUFULI....tutasimama nae pamoja kwa lolote lile......na hata kae INGIA barabarani KIPIGO CHAKE NAOMBA KIWE CHA UKWELI IPASAVYO......hatuwezi kukubali NYIE MTUMIKE KUTUCHAFULIA NCHI YETU KIZEMBE NAMNA HII....
MWENYEZI MUNGU YUPO UPANDE WA MAGUFULI kamwe hawezi ruhusu HILI JIANAMKE CHAFU kama MANGE liangamize watu wasio kuwa na hatia kabsa.....HILI LINGEWEZEKANA KWA MWANAMKE MWENYE KINYWA CHA HESHIMA ILA SI HUYU SHETANI.....
Rasilimali anazokulindia nipamoja na 1.5TR? au hizi hazihusiki
 
Siyo mwisho wa Mage tu ni mwisho wa UFIPA Mbowe asipo badilisha mfumo wa siasa ndani ya chama chake cdm ndiyo tunaenda kushuhudia kinakufa kifo cha mende
Babu yako Wasira aliyekuwa mshauri wa siasa za CCM alitabiri the same hadi leo Chadema ipo utakuwa wewe.
 
Wapi mtandaoni au wapi? Tanzania Zipo sheria za kuandamana kwanza kuna sheria ya ardhi Huwezi kukusanyika popote bila Kibali Cha mwenye ardhi kukusanyika kwa nguvu bila kibali Cha mwenye ardhi ni uvamizi ana Haki kuripoti polisi na polisi watakuja kukuondoa kwa nguvu kwa kuvamia eneo la watu pia kuna sheria za usalama barabarani Huwezi geuza eneo la barabara kuwa la waenda kwa miguu kwa nguvu bila Kibali Cha polisi wasimamia usalama barabarani, Tatu kuna sheria za biashara Huwezi zingira eneo la biashara watu washindwe kufungua biashara zao kisa umati wa wahuni wamezingira eneo la biashara. Yako mengi ila kushiriki maandamano yasiyo na vibali ni kufanya at your own risk ukipindwa makalio na singe Mimi. Simo endeleeni kudanganyana kuwa eti polisi wachache kuliko raia askari mmoja tu rubani wa ndege ya kivita akipita angani aweza kuwavurumisha waandamaji hata milioni moja bila Shida kwa kuwavurumishia mibomu. Jeshi la Anga Kazi yake kulenga wahuni walio chino ardhini. Ndio maana kuna helikopta na ndege za kijeshi. Tanzania sio Misri au Arab spring area hii ni nchi nyingine
Hizo habari kamwambia bibi yako cc tutavamia tu hizo ardhi zenu
 
Back
Top Bottom