Marekani nayo yatoa tahadhari kwa raia wake kuhusu maandamano ya tarehe 26/4/2018

we ni zaidi ya shetani ina maana Tundu kutibiwa we unachukia,hivi angekuwa baba yako au mama yako ndio katokewa na hayo na anatibiwa ungeandika hivi,unaifikiriaje familia ya TUNDU acha mbli siasa hivi unajua kuna watu walikuwa nyuma yake wanamtegemea yaani wewe kama ni viongozi wa mashetani una cheo cha juu saana na ninachokwambia haitachukua muda uliyoyafurahia kwa mwenzio kuumizwa na kuonyesha chuki eti anasaidiwa kutibiwa ww hupendi jiandae utayasikia kwa ndugu zako wa karibu saaana ndio uone umeandika ushetani sana la sivyo uombe Msamaha kwa MUNGU,ila ukiona we jeuri acha subiri uone malipo yake
Tatizo sio kutibiwa. Hujamuelewa. mtoa mada anatakq wazungu watangaze hadharani wao ndio wanaomtibia
 
Nyinyi mnaobweka humu JF ndo mtafanya sasa ID feki ziishe na tusajiliwe kama line za simu. Matendo yenu ndo yatafanya sheria zitungwe kali zaidi

Kama Mababu zako wangekuwa Waoga kama wewe hapa hii Dunia isingekuwa kama hivi ilivyo sasa ,acha Uoga ..
 
Hakuna lolote hapo mtu ulipo una shida zakounaenda kuongeza magunia ya matatizo unafikiri nani wa kukusaidia? Bora hata mtu angeniambia braza tukaandamane benki tupate mikopo ningeelewa,sio kwa ujuha huu wa Kimambi

Masikini hana cha kupoteza ..
 
Uwe unaona aibu kwa upuuzi wako wa kuposti huu UJINGA huku moja kwa moja UNAONYESHA KUFURAHISHWA NA HUU UJINGA WENU...sioni sababu ya HIZI BALOZI kutoa alert as if haya maandamano ni VITA inayotarajiwa kufanyika....Unless otherwise nao wanahusika kwenye huu UPUUZI na wanajua nini kimepangwa kufanyika kwenye hayo maandamano....na hiki wanachokifanya ni KUHAMASISHA MAANDAMANO.....
UKWELI NI KWAMBA HAWA WAZUNGU hajafurahishwa na JINSI MAGUFULI anavyo simamia RASILIMALI ZETU....na hii inajidhihirisha kwa sapoti wanaitoa kwa CHADEMA kuhakikisha nchi hii haitawaliki....MFANO MDOGO TU ni hawa WAZUNGU LEO HII NDIO WANAO MTIBU TUNDU LISSU kupitias UBALOZI WA UJERUMANI.....na ni hawa hawa ndio wanao mpa kibuli MANGE KIMAMBI maana she has alot of CONFIDENCE mpaka mtu unajiuliza HUYU MWANAMKE anapata wapi huu UJASIRI???kumbe ni hawa wazungu wanainjia hili kupitia MANGE NA KINA MBOWE....na ndio maana juzi juzi walienda UMOJA WA ULAYA KUFANYYIA KIKAO KWENYE UKUMBI WAO.....Niseme tu ukweli kwenye haya maandamano mtaoingia barabarani nyie ni wachache sana kuliko sisi tuliomchagua MAGUFULI....tutasimama nae pamoja kwa lolote lile......na hata kae INGIA barabarani KIPIGO CHAKE NAOMBA KIWE CHA UKWELI IPASAVYO......hatuwezi kukubali NYIE MTUMIKE KUTUCHAFULIA NCHI YETU KIZEMBE NAMNA HII....
MWENYEZI MUNGU YUPO UPANDE WA MAGUFULI kamwe hawezi ruhusu HILI JIANAMKE CHAFU kama MANGE liangamize watu wasio kuwa na hatia kabsa.....HILI LINGEWEZEKANA KWA MWANAMKE MWENYE KINYWA CHA HESHIMA ILA SI HUYU SHETANI.....
Hahaha! Shetani ni huyo aliyeiba 1.5 trillion,lifisadi nguli, wala Mungu hawezi kuwa upande wa Jizi,Lijambazi, Lifisadi nyangumi. 26/04/18...MAANDAMANO YA AMANI.
1.KATIBA MPYA
2.TUME HURU NAYA HAKI YA UCHAGUZI.
3.UHURU WA HABARI NA VYOMBO VYA HABARI
4.BUNGE LIVE
huyu unayesema Mungu yuko nae...sijui Mungu yupi hyo, mungu wa wasiojulikana au??
 
Hahaha! Shetani ni huyo aliyeiba 1.5 trillion,lifisadi nguli, wala Mungu hawezi kuwa upande wa Jizi,Lijambazi, Lifisadi nyangumi. 26/04/18...MAANDAMANO YA AMANI.
1.KATIBA MPYA
2.TUME HURU NAYA HAKI YA UCHAGUZI.
3.UHURU WA HABARI NA VYOMBO VYA HABARI
4.BUNGE LIVE
huyu unayesema Mungu yuko nae...sijui Mungu yupi hyo, mungu wa wasiojulikana au??

1. NENDENI KASKAZINI, KUSINI, MAGHARIBI ATA MASHARIKI, BADO NCHI YETU TANZANIA NI BORA KULIKO SEHEMU YOYOTE IWAYO DUNIANI.

2. FANYENI USHABEKI, LAKINI MKUMBUKE HII NI NCHI YETU SOTE.

3. TAMAA YA WACHACHE WENYE UCHU WA MADARAKA, HAITAWAFIKISHA POPOTE.

4. MUNGU MBARIKI RAIS WETU MPENDWA SANA DKT. JOSEPH POMBE MAGUFULI, MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kwa sisi Wakristo tunajifunza jambo kubwa sana kuhusu kushitakiwa, kuteswa, kuwambwa msalabani na hadi kufa kwa Yesu Kristo.
Imeandikwa, Yesu Kristo alikuwa mtii hadi kifo, kifo cha msalaba.
Yesu Kristo kabla hajafa alisema, ee Baba uwasamehe kwa sababu hawajui watendalo.
Yesu Kristo alisema, hakuna upendo unaozidi ule upendo wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.
Mungu alimtuma malaika amwambie Yosefu amkimbize mtoto Yesu Misri kwa sababu Herode anataka kumuua.

Kama haya yote yalifanywa na nguvu ambayo inaweza kuangamiza kwa kutamka tu iweje sisi watu wa kawaida tuanze kupambana na utawala ulioko madarakani ambao ni wa Kidemokrasia na si kama ule wa Herode na Pilato.
Kama Mungu alimwacha Mtawala afanye kadri ya mamlaka/matakwa yake kwa nini sisi tushindane na utawala ulioko madarakani na tuendelee kujiita wafuasi wa Yesu (Issa Bin Mariam).
Tutii mamlaka kwa sababu yana mwisho wake.
Herodi alijua atatawala milele lakini alikufa Yesu akiwa bado mdogo tu.
 
Usisite kuitangulize familia yako mbele front line... Mkutane na vijana wa Kamanda Sirro
Waandamanaji watarajiwa maandamano ni mazuri mno nawasihi msisahau kuandamana na familia zenu maana wahenga wanasema "kizuri kula na nduguyo"
 
Back
Top Bottom