Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,546
- 18,099
Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia kuisha Nchi za Marekani na Urusi waliiba technologia nyingi sana ktk kwa Manazi (Ujerumani) waliokuwa chini ya uongozi wa Adolf Hitler.
Soviet union na Marekani military power yao yote ilitokana na technolojia ya kuiba ktk Ujerumani, kwa mfano teknologia ya Intercontinetal ballistic Missile hizi ni roketi ambazo hubeba pia Silaha za maangamizi ya Kinyuklia zenye uwezo wa kurushwa mpaka umbali wa Kilometa 5000 zilikuwa developed na manazi chini Adolf Hitler.
Teknologia ya NASA yote yaani space programm ya NASA iliwezeshwa na Wanasayansi wa manazi wa Kijerumani waliochukuliwa na mateka na Wamarekani kwa kifupi NASA iliwezeshwa na hawa na wanasayansi wa Adolf Hitler, Kwa upande wa Urusi nako space programm yao kama Sputnik ambayo ndiyo ilikuwa satellite ya kwanza Dunini ya kwanza Duniani ilijengwa na Wanasayansi na Wahandisi wa Manazi wa Adolf hitler waliochukuliwa mateka.