Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,188
- 9,165
Mchambuzi wa runinga ya taifa ya Iran amesema Jumapili kuwa usitishaji wa mapigano uliopo kwa sasa ni kipindi kifupi tu kwa Israel na Marekani kujipanga upya, na kwamba wataendelea na mashambulizi yao dhidi ya Iran hivi karibuni.
“Ushahidi uliopo unaonesha kuwa Israel, kwa msaada wa Marekani, itaanza tena operesheni zake za kijeshi za ghafla na za uharibifu dhidi ya Iran ndani ya wiki moja au chini ya hapo,” alisema Ebrahim Mottaqi, Mkuu wa Kitivo cha Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha Tehran, wakati wa mahojiano ya moja kwa moja ya televisheni.
=====================
US and Israel preparing to attack Iran within a week, state TV pundit says
A pundit on Iran's state-run TV said on Sunday that the current ceasefire is merely a brief period for Israel and the US to regroup, and they will resume their attacks on Iran soon.
"The available evidence indicates that Israel, with US support, will resume its surprise and destructive military operations against Iran within a week at most," said Ebrahim Mottaqi, head of the Faculty of Political Sciences at the University of Tehran, in a televised interview.
“Israel and the United States view the ceasefire as a means of regrouping and optimizing their own military capabilities,” he said.
Mottaqi called on Iranian officials to not take the ceasefire seriously, adding, "Iranian officials would be the targets of such an attack."breaking News