ili kitu kisafiri hewani lazima kiwe na speed flani....drone kama hiyo ni ndogo..inahitaji speed kuwa hewani...kitu kinapopita hewani kwa speed kinatoa joto pia umeme kwa sababu ya msuguano wa hewa na kitu husika..umeme na joto zipo expoesed na heat seeking missiles(infrared homing) ndo maana nchi kama Russia hawana haraka kutengeneza Su 57 ..ila wanatumia zaidi Su 34/35 ..4+++ generation..kwa sababu tu ya kuwa na rada(PESA) za kuona mbali na kubeba missle(RS) za namna hii za kupigia umbali mrefu(F 35 in stealth mode are blind na zina short range missle)..ili ziwe active lazima ziwe karibu na adui ...naam kuna S 400..
Drone zinaendeshwa na radio electronics wave kama remote controlled flani hivi.. ..mashine kama krasukha~4 ndo mwake hapo.