Sisi tunatafuta "Ushindi wa Kishindo" kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa kwani ndipo akili yetu ilipofikia. We shall forever die with a slave mentality. Very saddening indeed.
China kaamsha upya mashindano ya silaha ambayo wenzake US na Rusia walishaona madhara ya Nuke na kukubaliana kustop.
Iko siku tutashuhudia kitu cha ajabu kabisa