MAREKANI: Mtanzania mcheza Mpira wa Kikapu, Samson Bidan afariki dunia baada ya kutumbukia mtoni

nilikuwa nawajibu watu waliouliza kwa nini waandishi wa habari hawamuongelei..

ndio nikawaeleza sabab ya kutomjua..

nimetoa info just as basketball fan kuelekeza watu sio kama namkashifu
Sawa, nimekuelewa, siku nyingine ili kuondoa maelewano mabaya umkoti unaemjibu mkuu. Ahsante kwa maelezo.
 
Tukio hili linafanana na jingine lilitotokea kwa matanzania mwingine miaka kadhaa iliyopita- yaani kuanguka mtoni wakati wa kayaking pia.

Mola apumzishe roho ya marehemu pema peponi.
 
nyani ngabu rudini nyumbani tule vumbi na kuisoma namba huko si sehemu salama tena hawa wazungu siwakuamini hata kidogo unaweza kutumiwa drone ya chemical weapon na tusijue umekufaje
 
Back
Top Bottom