MAREKANI: Mtanzania mcheza Mpira wa Kikapu, Samson Bidan afariki dunia baada ya kutumbukia mtoni

Sisi tunamjua Hasheem thabeet peke yake kumbe tulikuwa na mwingine huko?Wahusika wa michezo muwe mnafuatilia basi hata mtujuze tu,hawa ni ndugu zetu inawezekana siku moja wakakumbuka nyumbani wakarudi kusaidia timu zetu za Taifa.R.I.P Samson.
 
Apumzishwe kwa amani..... kaenda lini huko Marekani bila kujua taarifa zake? au mzaliwa wa huko!
Nilimuona Azam TV wakimuohoji kabla hajaenda ..... Mwaka huu mwanzoni au mwishoni kwa mwaka Jana.... Walimscout Tanzania hapahapa.... Anatokea mkoa wa Mara....
 
Huyu ni kijana mtanzania Mwenzetu ambaye alikuwa anaishi USA inadaiwa amefariki dunia kwa kutumbukia mtoni, alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu akijiandaa Na mashindano ya NCAA anaitwa SAMSON BIDAN.

========

Victim in kayak accident identified as NPCC basketball player

July 12, 2016

The man presumed dead following a tragic kayaking accident near North Platte has been identified as 20-year-old Samson Charles Bidan.

Bidan, who is from Tanzania, was kayaking with two other people on Monday night when he and a female were pulled into a Western Engineering sand pit, just east of North Platte, through a breach in the dike.

Sheriff Jerome Kramer says, during the 2011 floods, the United States Army Corps of Engineers forced Western to breach the dike between their sandpit and the North Platte River, so water could flow through the north end of the pit and out the south end of the pit. This created a tragic scenario when Bidan and his companions got to close to the breach.

View attachment 365851

Kramer said the sand pit is 50 to 80 feet deep, compared to the three-foot depth of the river. He said there is also a large amount of quick sand, and they fear that Bidan could possibly be covered with sand.

Witnesses say they saw Bidan flailing and asking for help, but they were unable to get him out. The female was rescued, but Bidan has not been seen since.

Law enforcement, the Lincoln County Dive Team and the Nebraska Game and Parks Commission have all been involved in the recovery effort but, so far, they have not been able to locate Bidan’s body. The effort has been hindered debris floating through the pit. Kramer said it has made it difficult for Game and Parks sonar equipment to get good images underneath the surface of the water.

Western Engineering employees spent the afternoon blocking the breach, hoping that stopping the flow of water will decrease the amount of debris in the water and allow the water level to normalize. In the meantime, search boats and divers have continued searching for Bidan. Kramer says they are aware of the area where he went into the water, so they have been searching that area extensively.

View attachment 365853

Bidan, who is seven feet tall, was slated to play basketball for Coach Kevin O’Connor and the Nort Platte Community College men’s basketball team. Dr. Jody Tomanek, Vice-President of North Platte Community College, said, “This is a sad and tragic day for NPCC and the Knight’s athletic program. In the short time Samson was with the College, he made a huge impact on the students, faculty, and staff. Samson always had a smile on his face and he will be greatly missed.”

As 7:00 p.m., on Tuesday, Bidan has not been located.
 
RIP brother japokuwa ukweli ni kwamba jamaa hakuwa levo za div 1 college b ball,,,,,kama angekuwa NCAA tungemjua wengi humu na media zote za tz zingempamba na hata kifo chake kingekuwa topic kwenye media za marekani zaidi ya sasa ilivyo...

jamaa sio b baller wa levo za hasheem ndio maana alikuwa community college ambazo hakuna basketball au mashindano ya levo ya juu ya kutoa proffessional players..

na sizani kama alikuwa na basketball scholarships..
community college sidhani kama zinaruhusiwa kutoa athletic scholarships
 
Hopefully u was having a dream of becaming a famous but u couldn't be able to achieve dem.....so sad......may god take u in a better place
 
RIP brother japokuwa ukweli ni kwamba jamaa hakuwa levo za div 1 college b ball,,,,,kama angekuwa NCAA tungemjua wengi humu na media zote za tz zingempamba na hata kifo chake kingekuwa topic kwenye media za marekani zaidi ya sasa ilivyo...

jamaa sio b baller wa levo za hasheem ndio maana alikuwa community college ambazo hakuna basketball au mashindano ya levo ya juu ya kutoa proffessional players..

na sizani kama alikuwa na basketball scholarships..
community college sidhani kama zinaruhusiwa kutoa athletic scholarships
does it matter? especially now when he is dead? sorry kama nitakuboa.
 
nilikuwa nawajibu watu waliouliza kwa nini waandishi wa habari hawamuongelei..

ndio nikawaeleza sabab ya kutomjua..

nimetoa info just as basketball fan kuelekeza watu sio kama namkashifu

does it matter? especially now when he is dead? sorry kama nitakuboa.
 
Back
Top Bottom