Marekani lazima akae, vita hakuna tena

We unadhani China akiingia utashangaa all asian countries zinakuwa upande wa china. India now hawako sawa na Us na wao wana nuclear now wanafanya business na Iran. Hakuna atakaye kosa rafiki. Ndio maana itakuwa world war 3.
Asia huko USA katawala na kuhusu mgogoro wa black sea USA alipeleka manowari kule jambo lililoamsha tension na china ,sidhani kama china ataungwa mkono labda duterte kidogo ndiye ameonyesha urafiki na ushirikiano na china kuliko USA

India sidhani

Cha msingi china na Urusi watasimama kidete ,hawatotaka peninsula yao iharibiwe kwa uvamizi wa NK
 
Kwanza Marekani historia inatukumbusha ana uwezo mdogo sana wa kushinda vita akipigana peke yake pasi kutegemea wale 'washirika' wake, historia ni mwalimu mzuri sana na tunapaswa kujifunza kwake.
Ni kama Marekani anapenda sana vita lakini vita hazimpendi, anachokimbilia sana sana huwa ni silaha za maangamizi tu sasa kwa nchi inayoonekana kumiliki pia hizi silaha anakuwa hana pakutokea.
Mikwara yao inajibiwa kwa vitendo hii sasa ni aibu kwa wanaojitapa ni superpower.
 
Upo vizuri, na bado mataifa mengine yanaangalia upepo unakwendaje. Nk atapata wafuasi wengi tuu.
Iran pia haitokaa nyuma. Marekani mshari sana wewe mtu mmepiga vikwazo miaka 50+ na ana shida na mtu unataka kumfanyia ubabe wa kivita.
 
Si tuliwambia kwamba hakuna vita, walikua wanatisha watu tu
 
Hahaha na sasa kawalisha wanawe tayar. Juzi tu kamuuzia Syria defense system.. Lkn US kapiga.... Putin kasema Eti Tomawack zimedondokea Baharini anaambiwa leta picha kazama mitini.. Hhahahha
Vipi wale SEAL mlisema wanaenda Korea hawajafika bado?

Manoari iliyotumwa na Trump na kuisifia ni very powerful imeishia wapi?

Au vita sikuhizi zinapiganwa Twitter... hahahaha aibuuu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…