Marekani kuziwekea vikwazo Urusi, Iran na Korea Kaskazini

Marekani kuziwekea vikwazo Urusi, Iran na Korea Kaskazini

inategemea na utegemezi wa nchi mfano urusi soko lake kubwa ni ulaya,ulaya inamuhitaji zaidi urusi kuliko yeye anavyowahitaji-kwa sababu ana abundunt resources kuliko nchi nyingi za ulaya ndio maana vikwazo kwake havina effect sana.Ukija kwa irani vikwazo sawa na kutwanga maji kwenye kinu sababu ni moja ya nchi inazalisha mafuta mengi duniani na bidhaa kama mafuta ni uatake usitake lazima utanunua.
Kuhusu kora kasikazini hizi habari kuwa ni masikini huwa siziamini kutokana na unyeti wa Taifa lenyewe hizo takwimu walipata wapi?? na nchi masikini inawezaje kuwa na satellite yake mwenyewe kitu ambacho kuna nchi karibu zate za ulaya hazijaweza
Imepenya hiyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetafakari kwa makini lakini kabla ya kuja na hii comment?. Hebu tueleze China ina technologia gani kubwa ambayo inaipa sifa ya kuipokonya marekani utawala wa biashara duniani? Nadhani, japo inawezekana China bado ana safari ya miongo au hata karne kadhaa kuweza kusimama height moja na US.

Zamani kabla yetu yalikuwepo mataifa yaliyoitiisha dunia kila idara. Ilikuwepo babeli, uyunani na rumi. Kwa wakati wetu mbabe wetu ni US hakuna wa kumtunishia misuli. US kwa sasa hivi ndo nchi yenye uchumi mkubwa na tech kubwa duniani. China pamoja na population kubwa kuliko US bado bajeti take inachechemea kwa US.

Tusubiri huko mbeleni tutaona kama China ataweza kukuza tech yake pamoja na uchumi wake vya kutosha ndo tuanze kumjadili kama next super power. And I bet huenda asiibuke mwingine zaidi ya U.S.
Mkuu sijajua una manisha technologia inayohusiana na nini?? but kaa ukijua kinachoiweka sa hivi USA kuendelea kuwa super power kiuchumi ni matumizi ya dollar yake duniania leo hii nchi zinazozalisha mafuta zikiamua kutotumia dollar ya marekani kwenye soko la mafuta ndio kitakuwa kifo cha mwisho kwa USA.Angalia takwimu hizo za GDP in nominal value na GDP in PPP kati ya china na USA na uniambie nini kinakufanya useme china hawezi mfikia USA.
GDP Nominal (billions of $)
United States GDP (nominal) 19,417 na GDP (PPP) ni 23,760
China GDP (nominal) 11,795.297 na GDP (PPP) ni 34,316
ukija kwenye technologia ni wazi kuwa china yupo vizuri maana hadi upate mafanikio hayo ya kiuchumi maana yake unazalisha sana na unauza sana
 
China hii hii inayotegemea export kwa kiasi kikubwa kuendesha uchumi wake ndo impiku Marekani?!. Hapo nyuma kuna India soon viwanda vingi vitahamia huko kwa sababu ya cheap labor na hapo China ndo atakua hana chake tena.
China leo hii mpaka injini ya ndege mpaka amtegemee mrusi ndo useme ina teknolojia, imenunua Su-35 za mrusi wapate injini zake wazimodify wazichomeke kwenye ndege zao mpya za J-20 na J-31.China kwa Marekani bado sanaaaaa.
kwani mkuu tunaposema nchi fulani ina uchumi mkubwa huo uchumi mkubwa unatokana na nini kama si export?
 
Ni ngumu sana kuwekea vikwazo taifa kubwa kama urusi,taifa ambalo lina kila aina ya tekinologia na pia ina kila aina ya madini. nchi za umoja wa ulaya zilipata tabu sana baada ya kuwekeana vikwazo na urusi mwisho wa siku baadhi ya nchi zilishindwa ikabidi tu wayaruhusu makampuni yao yafanye biashara na urusi
 
The losses of EU have been estimated as €100 billion,[2] with Italy in particular losing over €1.25 billion.[84] The German business sector, with around 30,000 workplaces depending on trade with Russia, also reported being affected by the sanctions.[85] The sanctions had an impact on numerous European market sectors, including energy, agriculture,[86] and aviation.[87] In March 2016, the Finnish farmers' union MTK stated that the Russian sanctions and falling prices have put farmers under tremendous pressure. Finland's Natural Resources Institute LUKE has estimated that last year farmers saw their incomes shrink by 40 percent compared to the previous year.[88]

In February 2015, Exxon Mobil reported losing about $1 billion due to sanctions.[89]

Opposition within EuropeEdit





Italy, Hungary, Greece, France, Cyprus and Slovakia are among the EU states most skeptical about the sanctions and have called for review of sanctions.[91] The Hungarian Prime Minister Viktor Orbán stated that Europe "shot itself in the foot" by introducing economic sanctions.[92] Former Bulgarian Prime Minister Boiko Borisov stated, "I don't know how Russia is affected by the sanctions, but Bulgaria is affected severely";[93] Czech President Miloš Zeman[94][better source needed] and Slovakian Prime Minister Robert Fico[95] also said that the sanctions should be lifted.

The Greek Prime Minister Alexis Tsipras said that Greece would seek to mend ties between Russia and EU through European institutions. Tsipras also said that Greece was not in favour of Western sanctions imposed on Russia, adding that it risked the start of another Cold War.[96][97]

A number of business figures in France and Germany have opposed the sanctions.[98][99][100] The German Economy Minister Sigmar Gabriel said that the Ukrainian crisis should be resolved by dialogue rather than economic confrontation,[101] later adding that the reinforcement of anti-Russian sanctions will "provoke an even more dangerous situation… in Europe".[102]

Paolo Gentiloni, Italian Minister of Foreign Affairs, said that the sanctions "are not the solution to the conflict".[103] Some companies, most notably Siemens Gas Turbine Technologies LLC, were reported to attempt bypassing the sanctions and exporting power generation turbines to the annexed Crimea.[104]

In June 2017, Germany and Austria criticized the U.S .Senate over new sanctions against Russia that target the planned Nord Stream 2gas pipeline from Russia to Germany,[105][72] accusing the United States of threatening Europe's energy supplies (see also Russia in the European energy sector).[71] In a joint statement Austria's Chancellor Christian Kern and Germany's Foreign Minister Sigmar Gabriel said that "Europe's energy supply is a matter for Europe, and not for the United States of America."[106] They also said: "To threaten companies from Germany, Austria and other European states with penalties on the U.S. market if they participate in natural gas projects such as Nord Stream 2 with Russia or finance them introduces a completely new and very negative quality into European-American relations."
 
Back
Top Bottom