Kwahiyo na wewe unaamini hiyo complex ant missile inaweza zuia ballistic missile?Poland US ana complex ant missile shield.
Kwahiyo na wewe unaamini hiyo complex ant missile inaweza zuia ballistic missile?Poland US ana complex ant missile shield.
Kwahiyo na wewe unaamini hiyo complex ant missile inaweza zuia ballistic missile?
Watu wa saikolojia tunajua...Duh mbona Putin yupo kimya?
Kwanini isiweze, kwan ww unaamin kabisa S400 inaweza kuzuia ballistic missiles?Kwahiyo na wewe unaamini hiyo complex ant missile inaweza zuia ballistic missile?
nlitokea kumchukia.huyu jamaa alipo mua gadaffiikwa upande wangu obama ni rais mpuuzi sana ambaye hupenda kukuza mambo ya kipuuzipuuzi tu na baadhi ya media zinampamba sana
Nilitokea kumchukia sana Gadaffi aliposhirikiana na Idd Amini kutuvamia Tanzania. Malipo ni hapahapa dunianinlitokea kumchukia.huyu jamaa alipo mua gadaffii
The last time I checked, rais wa Georgea alijazwa ujinga lakini mwishowe akaishia kutafuna tai bila kinywaji.
aliomba msamaha mkuuNilitokea kumchukia sana Gadaffi aliposhirikiana na Idd Amini kutuvamia Tanzania. Malipo ni hapahapa duniani
Mimi kumuua Ghadafi + kusapoti ushoga sitaki hata kumsikia.nlitokea kumchukia.huyu jamaa alipo mua gadaffii
Waliyo yaweka niwa jinga wewe ndio unae jua kua haya zuii?Kwahiyo na wewe unaamini hiyo complex ant missile inaweza zuia ballistic missile?
Mimi pia kwa kweli. .yaani aondoke na misheria yake yote. ..Amen RA. .Mimi kumuua Ghadafi + kusapoti ushoga sitaki hata kumsikia.