Marekani kumzui Elon Musk kununua Twitter

Marekani kumzui Elon Musk kununua Twitter

Sasa starlink vina uhusiano gani na twitter?? Sema hao wametafuta sababu tu ila wanaogopa twitter ikiwa free itakuwa ngumu wao kupush agenda zao za ushoga
ushoga upo toka enzi ya dola ya rumi, na hata kabla ya hilo dola kuwepo, ushoga umetamalaki duniani nzima kabla ya hata IT tech kuwepo halaf twitter ni mtandao wenye heshima yake ndiyo maana unaweza wakuta marais wa nchi huko lakin huwezi wakuta fb, tiktok, na mingine so sababu yako haina mashiko hata kidogo. Na kama ni kupush agenda za ushoga wanaweza push bila hata twitter kuwepo.
 
Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
Sijapata kuona mtu wa ovyo kama wewe...huku unasahau USA wana msemo wao hawana adui wa kudumu..hivi huyu mtu utamwamini vipi?..Chanzo cha Al-Qaid ni yeye baada ya kuwafadhili kumpinga Urusi..Saddam Hussein ni yeye ona huu mfano wa juzi tuu kuhusu Islamic state..kamuibua yeye sasa maadui
 
Biden anamchukia Elon sbb Biden ni mjinga sana, wazungu wanamuita Lazy, sleepy Joe..

Elon ni genius sana, so you can see what is going around..!!
 
Nimejizuia kweli kweli kutojibu hoja yake huyo mkuu! Nimeanza kujifunza kujizuia, ila ni kugumu kweli kweli!!

Asante sana Mkuu Kwa kumshughulikia kistaarabu.
Kuna watu wanatakiwa wapewe vyeti kwa level ya ujinga waliyofikia.

"Bachelor of science in outstanding stupidity and related ignorance".

Afanyiwe na graduation ceremony.

Hakika, kujizuia ni kazi ngumu sana kwenye ulimwengu wenye watu wa namna hiyo!
 
Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
Amani ipi anayolinda duniani? Mnyonya damu mahili kageuka kua mlinda amani? Hii sleeping sickness sijui mwisho wake lini
 
We ni mtu sana, kujizuia na kuinyesha ustaarabu wa hali ya juu kwa mtu asiejielewa
Ni kweli kabisa mkuu, marekani ndio mlinzi wa amani duniani.

Alipeleka amani Iraq, akapeleka amani Afghanistan, akapeleka amani Somalia, akaunga mkono kupeleka amani Libya, akapeleka amani Syria na Yemen, na sasa anachochea amani pale Ukraine.

Pia Marekani amekua mfadhili wa vikundi kadhaa vinavyochochea amani duniani kama vile Islamic state na Alqaeda.

Wewe una akili sana mkuu kama umeliona hili!
 
Kwahiyo, kila kitu anachoona MAREKANI hakifai ni ushoga?
Huku ni kutofikiri vizuri. MAREKANI ni mlinzi wa AMANI DUNIANI.
Hivyo, MAREKANI imehusika katika Matendo mema kama:-
(1) Ukuaji wa demokrasia katika nchi mbalimbali.
(2) Kuzuia uchokozi wa baadhi ya mataifa na vikundi vya magaidi duniani .
(3) Kutoa misaada mbalimbali kwa nchi masikini.
(4) Kuimarisha na kukuza uhuru wa kuabudu.
(5) Kuondoa madikteta katika baadhi ya nchi.
FIKIRIA, nafasi hii ya MAREKANI angeipata IRAN, DUNIA ingekuwaje?, Bilashaka DUNIA ingekuwa ni sehemu ya watu waliokata tamaa na kutaka KUFA.
Watu wanasema mjini shule

Yani maana yake wanaoishi vijijini Kuna mambo ili uyajue ni Hadi uende shule kuvisoma ila ukiishi mjini utayajua tu automatically bila ya kuingia darasani wewe hiyo ndio shida yako

Hivi unajua kama vita ya Iraq na marekani ni kwa sababu marekani alitaka kuiba mafuta ya Iraq na Queit ila Sadam ndio alikuwa kikwazo

Unajua kuwa sababu ya vita ya Libya ni kuwa marekani alikuwa anauonea donge uchumi wa Libya kwa kuwa ulikuwa unakua kwa Kasi pamoja na mambo mengine yanayohusu mafuta na ndio maana Leo hii walibya wanajuta

Unajua kuwa hi vita ya Ukraine na Urusi Marekani ndio mchochezi

Unajua kuwa hivi Sasa Marekani anachochea Taiwan na China ili na zenyewe zipigane
 
Back
Top Bottom