Russia mtoe kwenye hiyo list, hadi vita inapiganwa kwake maana yake walishampima na wakamuona anaingilika walau tumseme North Korea anaweza akadinda mbele ya US ila sio Putin.
Putin alitoa tamka, yeyote atakayemsaidia Ukraine atakutana na mkono mzito. US akawa wa kwanza kabisa kutoa misaada kwa Ukraine, Putin akaufyata, leo hii ulaya nzima inatoa msaada kwa Ukraine na hakuna kitu amefanya. US sio nchi ya mzaha mzaha, jamaa wana watu vichwa haswa.