Korean War aliishia katika stalemate. Vietnam aliikimbia mwenyewe yalipomshinda nchi (iliyokuwa South Vietnam) ikaingia kwenye mikono ya makomunisti. Vita dhidi ya Taliban kwa takriban miaka 20 hiyo Taliban ikaishia kurudi. Iraq wameivamia 2003 wamemtoa Saddam ila wakaishia kuiharibu nchi, wakafeli na mambo yakawaharibikia wakaishia kujiondoa mwaka 2011 baada ya kuiharibu nchi ya watu.
Kinachonisikitisha kama kweli wanapanga kuivamia Venezuela wanataka tu kuongeza katika rekodi yao idadi ya nchi walizozivamia wakaziharibu na kuziachia matatizo.