Marekani kufanya jaribio la kombora lake kubwa la Nyuklia

Ni muda muafaka sasa kwa Serikali kutueleza wananchi nini cha kufanya endapo lolote litatokea. Serikali ina mkono mrefu kupitia vyombo vya inteligensi na kwa vyovyote itakuwa imeshanusa mwelekeo wa hivi vitisho. Kama mahandaki wananchi tuelezwe tuanze kuyachimba na watupatie viwango na vipimo sahihi kujikinga na haya majanga ambayo ni almost dhahiri yatatokea.
haya dudus yanafumua hadi mahandaki wewe unafikiri ni kama vita vya kagera
 
Kuna USA moja tu duniani.. Anataka kua mbabe,tajiri na hatari na akiona mtu anajiinua lazma amsambaratishe,,ha ha sipend vita ila na hamu na hii wapige hzo atomic zao na Nuk zao mwanzo mwsho,,wakat NK wakiringia makombora yao ya masafa marefu na kati yenye uwezo wa kwenda km 7800-10400 marekan ana makombora 400 ya umbali wa 1300 ambapo akipiga manne pale kodea double double aisee mji naoupenda wa soul unakwenda kua jangwa..
 
Ni muda muafaka sasa kwa Serikali kutueleza wananchi nini cha kufanya endapo lolote litatokea. Serikali ina mkono mrefu kupitia vyombo vya inteligensi na kwa vyovyote itakuwa imeshanusa mwelekeo wa hivi vitisho. Kama mahandaki wananchi tuelezwe tuanze kuyachimba na watupatie viwango na vipimo sahihi kujikinga na haya majanga ambayo ni almost dhahiri yatatokea.
Hivi vyomba vya itellgensi ni kwa wapinzaini.wataweza wapi mambo kama hayo.
 
mkuu maandaki ni sawa na kujichimbia kaburi hii kitu inafukua ardhi yote chini juu yaani ikipiga ni balaaaa.
wakazi wa migodini wana readymade bombshelter,
kwakwenda chini nuclear bomb ina limit yake ndo maana kuna nuclear bombshelter.
Ubaya mkubwa wa nuclear ni ile fallout na mionzi,
north korea ikipigwa mabomu ya nuclear madhara ya mionzi inasambaa kufika china na russia ndani ya masaa mawili,
kwahiyo russia kureact kwa uingereza ni sawa na kumwambia asijaribu kuipiga north korea kwa nyuklia.
Hata jaribio la nyuklia la marekani kiuhalisia si kwa ajili ya kumtisha kim,bali kutuma message kwa china na russia kuwa just in case wanampaka wa kumsaidia kim basi kitaumana.
Kila nchi huko saa hizi wanafanya military posturing kujiandaa kwa lolote lile
 
Hata jaribio la nyuklia la marekani kiuhalisia si kwa ajili ya kumtisha kim,bali kutuma message kwa china na russia kuwa just in case wanampango wa kumsaidia kim basi kitaumana.
Kila nchi huko saa hizi wanafanya military posturing kujiandaa kwa lolote lile
 
wakazi wa migodini wana readymade bombshelter,
kwakwenda chini nuclear bomb ina limit yake ndo maana kuna nuclear bombshelter.
Ubaya mkubwa wa nuclear ni ile fallout na mionzi,
north korea ikipigwa mabomu ya nuclear madhara ya mionzi inasambaa kufika china na russia ndani ya masaa mawili,
kwahiyo russia kureact kwa uingereza ni sawa na kumwambia asijaribu kuipiga north korea kwa nyuklia.
Hata jaribio la nyuklia la marekani kiuhalisia si kwa ajili ya kumtisha kim,bali kutuma message kwa china na russia kuwa just in case wanampaka wa kumsaidia kim basi kitaumana.
Kila nchi huko saa hizi wanafanya military posturing kujiandaa kwa lolote lile
Mkuu ukisoma vzr maelezo ya Urusi yamesema kwamba iwapo UK itashambulia Russia na si vinginevyo. Kumbuka hao Russia&USA na wengineo wana ile sera yao ya No first Use nahisi km sikosei. Yan hashambulii labda itokee imeshambuliwa, naona ss UK inataka kubadilisha wawe na First Use.
 
e09966dc5d0407f209c5f7d2452e8e5a.jpg
Usiku wa Leo Marekani inatarajia kufanya majaribio kwa kombora lake la nyuklia Minuteman III kuangalia ufanisi, utayari na usahihi wake katika kupiga sehemu husika.Jaribio hilo litafanyika kwenye kambi ya jeshi la anga la Marekani iliyopo California.
Jaribio hili linafanyika huku kukiwa na mzozo mkubwa baina ya Marekani na Nkorea kuhusiana na silaha za nyuklia. Japo wachambuzi wengi wanaona jaribio hili ni kama kufikisha ujumbe mzito kwa Korea kaskazini, Marekani imekana jambo hilo na kusema kwamba jaribio hilo halihusiani na mzozo huo bali ni moja ya kuweka utayari silaha zake kwa ajili ya usalama wa nchi.
c99eb7641713afa4cd7effc791c9437e.jpg

Minuteman III ni kombora pekee la nyuklia la Marekani ambalo linarushwa toka ardhini, lina uzito wa kilogram 35,300 huku likiwa na uwezo wa kubeba vichwa vitatu vya nyuklia vyote vikiwa na uwezo wa kulipua sehemu tofauti tofauti.Vichwa hvyo vikiwa na mlipuko wa 300-500kilotons kwa kichwa kimoja. Lina weza kwenda umbali wa hadi 13000km kwa speed ya 7.8km kwa sekunde(Mach 23).
a32d364223d62fab750fd1a5130e3b6f.jpg

Mpaka sasa Marekani ina jumla ya makombora haya zaidi ya 450 yakitarajiwa kupunguzwa mpaka 400 chini ya mkataba wa START.
Kombora hili linatarajiwa kustaafishwa mwaka 2030 huku nafasi yake ikichukuliwa na kombora jingine ambapo kampuni mbalimbali za Marekani kama vile Boeing, Lockeed Martin na Northrop Grumman zinatarajia kushindana katika utengenezaji wa kombora hilo jipya chini ya mpango wa Ground Based Strategic Deterrent next generation nuclear ICBM.
Kombora hilo jipya linatarajiwa kuanza kutengenezwa kuanzia 2020 huku ikitarajiwa kua na teknolojia ya juu ya kukwepa ulinzi wa adui pia lenye nguvu kubwa kuliko la hivi sasa.Mpango huo unatarajia kugharimu jumla ya dola bilioni 86.
wanajalibia wapi wakati mapori ya kwao wamesha yamaliza
 
Back
Top Bottom