Marekani kashaishiwa makombora anaungaunga kuokoteza South Korea

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,305
35,852
Marekani anaibembeleza South Korea imuuzie makombora ili akamsaidie mshirika wake anayepata kipigo kizito Toka kwa Urusi hizi ni dalili za mwanzo tu za NATO kuaibika.

US to Buy 100,000 Korean Artillery Shells for Ukraine – Media

The US and South Korea are apparently about to close a deal wherein Washington would purchase 100,000 rounds of 155mm artillery shells to be delivered to Ukraine, multiple reports in the US media say.

Seoul commented on the news by saying that its position on not providing lethal aid to Ukraine remained unchanged, and its “confidential” negotiations on the sale of the artillery shells were being conducted “under the premise that the US is the end user”.

Subscribe to RT
 
Unajua maana ya makombora wewe?altellery shell ndio unaita makombora ,hivi unajua bei ya kombora moja alafu uje utuambie korea kauza makombora100,000 una mtindio

Hiyo habari wajanja wameiona wamepita tuu .usichokijua marekani amepunguza sana uzalishaji wa altelary that why kaagiza korea maana kwake stock siyo kubwa.US ashaachana na hizo silaha kitambo
 
Marekani anaibembeleza South Korea imuuzie makombora ili akamsaidie mshirika wake anayepata kipigo kizito Toka kwa Urusi hizi ni dalili za mwanzo tu za NATO kuaibika.

US to Buy 100,000 Korean Artillery Shells for Ukraine – Media

The US and South Korea are apparently about to close a deal wherein Washington would purchase 100,000 rounds of 155mm artillery shells to be delivered to Ukraine, multiple reports in the US media say.

Seoul commented on the news by saying that its position on not providing lethal aid to Ukraine remained unchanged, and its “confidential” negotiations on the sale of the artillery shells were being conducted “under the premise that the US is the end user”.

Subscribe to RT
Kwa kukusaidia marekani ana military base zake nyingi sana south Korea kuliko nchi yeyote Ile ukiona ameenda kuchukua kaenda kwenye ghala zake ambazo zipo Korea kusini
 
Unajua maana ya makombora wewe?altellery shell ndio unaita makombora ,hivi unajua bei ya kombora moja alafu uje utuambie korea kauza makombora100,000 una mtindio.
Hiyo habar wajanja wameiona wamepita tuu .usichokijua marekani amepunguza sana uzalishaji wa altelary that why kaagiza korea maana kwake stock siyo kubwa.US ashaachana na hizo silaha kitambo
Kichwa chako kina Umbwe kubwa ila sehemu ndogo ndio imebeba ubongo unaoweza kukusaidia kula na kuweka bando
 
Sitaki uniletee habari historia pamoja na base zake lakini kaishiwa makombora
kampigeni kwa vile mlisema ataeisadia Ukraine atapata kipigo ameshaishiwa saihizi ni mdebwedo kabisa.

Na hiyo kauli ya kuwa ameishiwa imetoka kwa mbongo wa tandale mwendesha hazina ya makombora kutoka white house ya mbagala.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Mahaba yakizidi unakua uchizi umewekewa mpaka source lakini bado unaharisha utumbo
 
Back
Top Bottom