Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Asalam Aleikum
Hali katika miji mbali mbali ya marekani kwa sasa sio shwari,watu wamekuwa wakiishi kwa wasiwasi mkubwa kutokana na Machafuko yaliyotokea huko Dallas baada ya Vijana wawili weusi Kupigwa risasi na polisi Weupe. Kitendo hicho kimewafanya watu weusi kuchukua Sheria mkononi na "kulipiza" KISASI kwa kuwaua Polisi "zaidi" ya wanne kwa kutumia wadunguaji waliokuwa wamekaa katika majengo marefu.
Kwa jinsi hali inavyoendelea nina wasiwasi kwamba marekani ipo katika hatari kubwa sana ya kutengeneza MAGAIDI hatari sana ambao wataifanya nchi itikisike kiusalama. wataalam wa mambo ya kigaidi wanasema kuwa moja kati ya sababu zinazopelekea mtu kuwa gaidi ni pamoja na "Chuki" na hali ya kuona kuwa unaonewa(kubaguliwa) na hali hii ndiyo iliyopo marekani kwa sasa.
Watu weusi japokuwa wenyewe kwa wenyewe wanauana lakini linapokuja swala la polisi weupe "Kuwadhulumu" watu weusi hawako tayari kulipuuzia. Soon tutasikia Makundi ya kigaidi ya wamarekani weusi nayajitoa muhanga "Kama" hali hii haitadhibitiwa
Nawasilisha